totlo masire
JF-Expert Member
- Nov 7, 2021
- 868
- 1,398
Hao si ni wanga, wanapenda kutuwangia sana .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wamekuwa wapole nani kama huu uzi hawauwoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao si ni wanga, wanapenda kutuwangia sana .
Hadhi yao ni vitumu kama KenGold, Kitayose na DTB ndio watajittutumua weeeeee mpaka msihipa iwatoke.Nyie si mmezoea mech za kimataifa mnagongwa mbele na nyuma !! Maana hapa nyumban huwa mnabebwabebwa tu
Ushauri wa daktari unywe maji mengi ukatulie kwenye upepo, hiyo pressure uliyonayo itakuua usipokuwa makini.Nguvu za soda hizi ndizo zikupotezee muda kwa mihemuko yote hiyo ilihali hata hatua ya robo fainali tu hujafika?
MAKOLO MAKOLO MAKOLO nimekuita mara 3 ustuke usiendelee kuwa MBUMBUMBU....[emoji1]
Hahaha from what you've spoken, do you have any comment about the game pal?Go Asec..
Go Mimosa..
You have come d'slaam to hunt a lioness that can't roar without 'chupli chupli'
0-2[emoji39]
Mpira mdogo, huu vipi utatosha?Japo tumeshinda ila mpira wa Simba ni mdogo sana, ushindi huu wa papatu papatu hauwezi kutufikisha mbali. Niko tayari kupigwa mawe
Labda kipa wa machura churani😂Wamweke nani?
mm shabiki wa Simba, huo Ni ukweli, kagere, bocco, mugalu, Morrison wamefikia ukingoni. Hawana msaada kwa Sasa.Na nyinyi tengenezeni ili mfikie huku tulipo sasa.
Shahidi bila shaka na wewe umefatilia yaliyotendeka leo duniani, sasa iambie jamii forums nini kilitokea kwa Mkapa kuanzia saa 10 mpaka 12jioni ya leo.Full Time
Mimosas 4- simba 0
Niwe mkweli leo simba hatutoboi kabisa tumezoea kubebwa
wachambuzi wanajichanganya sana kana kwamba hawaelewi soccer lina matokeo ya ajab sana sijui wataongea nin leo maana wengi uchambuz wao walionesha simba itapigwa goli nying.Simba Sports Club Inaendelea Kuwa prove wrong Wachambuzi Wetu wengi Wa Soka...! Wengi ukiwasikiliza wanajikanyaga kanyaga.
Full Time
Mimosas 4- simba 0
Niwe mkweli leo simba hatutoboi kabisa tumezoea kubebwa
Mpaka sasa mama Samia au PM awajatoa pongezi kwa Simba,au wanategeana nini?
Hali mbaya kwa msukule anatafuta timing ya kupost ili kuua soo lakini upepo umemzidiaSimba Sports Club Inaendelea Kuwa prove wrong Wachambuzi Wetu wengi Wa Soka...! Wengi ukiwasikiliza wanajikanyaga kanyaga.
Huyo aliyevaa kofia nyeusi ni nani?Asec tawi la UtopoloView attachment 2118591
Kuihusisha Yanga na michuano ya kimataifa ni kuikosea heshima michuano hiyo.Yanga ni moja ya timu mbovu Sana,yaan huwa inapokea kichapo nyumban na ugenin,yaan inatupaga aibu Sana watanzania,
Lakn Simba ni Moto sku zote
Simba oyeeeeeeee!!!!