Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

Wachambuzi wa soka wengi hapa kwetu wako kwenye pay roll ya GSM.Hawawezi kuuona ukweli.
Ila kuna ujinga ujinga mwingi sana kwenye match za ndani.Unakuta mchezaji anakaba kwa kutaka kujeruhi na waamuzi na wachambuzi hawa wanaita kugongana!
Ila mpira ukichezwa utajua nani anajua mpira
Simba Sports Club Inaendelea Kuwa prove wrong Wachambuzi Wetu wengi Wa Soka...! Wengi ukiwasikiliza wanajikanyaga kanyaga.
 
Kuna nini tena jamani? Wameshinda Kombe la Dunia au? Yanga & Simba ni timu maarufu kwa butuabutua. Tanzania bado sana soccer.
 
wachambuzi wanajichanganya sana kana kwamba hawaelewi soccer lina matokeo ya ajab sana sijui wataongea nin leo maana wengi uchambuz wao walionesha simba itapigwa goli nying
Lakin mpira kwenye pitch na mpira mdomoni ni vitu viwil tofaut wachambuz wamefel..
Tanzania napo kuna wachambuzi..? Wachambuzi ambao hatujawahi sikia au kuona wakicheza mpira level hata ya ligi kuu nchini
 
Kwani kuwa mchambuzi ni lazima uwe umecheza mpira ....mbona una akili finyu sana
 
Back
Top Bottom