Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

Huo ndo ukweli mkuu. Japo Simba tumeshinda ila nasikitika sana kuona timu bora imepoteza mchezo
uto uliechangamka hay tangulia avic town

A5B9BE8F-EB79-4CF5-8173-447BC2EE18A3.jpeg
 
Nilianzisha Uzi kwa wana Simba SC Wenzangu tena nikijiamini kabisa kuwa Simba SC yetu Leo ingeshinda ama Goli 1 kwa 0 au Goli 2 kwa 0 au Goli 3 kwa 1 na nikasema kuna Mchezaji ataumia na kimetokea vile vile cha Kushangaza Uzi huo mmeuunganisha.

Sijajua kama Mightier yasingetokea Matokeo niliyoyatabiri na ambayo nilikuwa na uhakika nayo 100% kutokana na Kazi Ngumu iliyofanyika huo Uzi ungeunganishwa bila shaka labda ungeachwa ili Nishushuliwe, Nichekwe na Nidhihakiwe na Watesi ( Critics ) wangu JamiiForums nzima.

Japo nimesikitika ila Namshukuru Mungu kwa Kipawa chake na ama hakika Kumpiga teke Chura ni Kumuongezea Mwendo.

Asante sana Wachezaji wote wa Simba SC na wana Simba SC Wote. Ushirikiano Wenu na Kujitoa Kwenu katika Kamati za Matawi pamoja na Baraka za Wazee kwa Ujumla zimepelekea kupatikana kwa Ushindi ambao unatupaisha Kimataifa na Kuipaisha nchi yetu ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom