Simba asipochukua kombe la CAF Jumapili hii baada ya mchezo nitawatumia watu 10 milioni 1 kila mmoja wa hapa JF

Hyrax

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
1,458
Reaction score
4,409
Simba Bingwa wa CAF Confedaration 2025, namba za kinajimu zinamfavour simba kuliko Berkane mbaya zaidi wanacheza ardhi ambayo ina historia kubwa ya vita za gizani katika nchi hii.

Wachambuzi wengi wenye uelewa mdogo wa mpira wa miguu hasa africa utawasikia wanavyochambua kiufundi wa kimpira kama wapo ulaya na kumpa credit Berkane ila wanasahau hapa ni Tanzania na uchawi wetu mkubwa ni mwenge wa uhuru.

Niwakumbushe tu jambo lolote likishakuwa la kitaifa hakuna mgeni anayeingia nchini na kubaki salama.

Tanzania ni moja ya nchi inayoogopwa sana kwenye mambo ya upande wa pili ikifuatiwa na Gambia, bendera yetu pale kati si mnaona ile rangi nyeusi haikuwekwa pale bahati mbaya wazee wa deep system washanielewa.

Asanteni
 
TUNAMTAFUTA MDUDE WEWE UNALETA MAMBO YA UPUUZI WA MPIRA HAPA...SORRY LAKINI
 
Simba Bingwa wa CAF Confedaration 2025, namba za kinajimu zinamfavour simba kuliko Berkane mbaya zaidi wanacheza ardhi ambayo ina historia kubwa ya vita za gizani katika nchi hii.

Wachambuzi wengi wenye uelewa mdogo wa mpira wa miguu hasa africa utawasikia wanavyochambua kiufundi wa kimpira kama wapo ulaya na kumpa credit Berkane ila wanasahau hapa ni Tanzania na uchawi wetu mkubwa ni mwenge wa uhuru.

Niwakumbushe tu jambo lolote likishakuwa la kitaifa hakuna mgeni anayeingia nchini na kubaki salama.

Tanzania ni moja ya nchi inayoogopwa sana kwenye mambo ya upande wa pili ikifuatiwa na Gambia, bendera yetu pale kati si mnaona ile rangi nyeusi haikuwekwa pale bahati mbaya wazee wa deep system washanielewa.

Asanteni
mambo ya black pope cyo
 
Sawa kwahyo hyo hela utanitumiaje maana nipo kati ya hao watu 10.
 
Kuna bidhaa nafeliwa hapa kiongozi heb nipe 70,000 kwanza. Simba ikishinda utaniongeezea af ikishindwa ntakurejeshea we mze.

Fair play... Sisi ni wanaume. Unanipa alifu.
 
Kwenye milioni ya moja ya mtu wa 10 ambaye ni mimi, 650,000 itanitosha. 350,000 Utagawa soda mtaani huko kwa mashabiki wa uto wapooze koo.
 
Simba Bingwa wa CAF Confedaration 2025, namba za kinajimu zinamfavour simba kuliko Berkane mbaya zaidi wanacheza ardhi ambayo ina historia kubwa ya vita za gizani katika nchi hii.

Wachambuzi wengi wenye uelewa mdogo wa mpira wa miguu hasa africa utawasikia wanavyochambua kiufundi wa kimpira kama wapo ulaya na kumpa credit Berkane ila wanasahau hapa ni Tanzania na uchawi wetu mkubwa ni mwenge wa uhuru.

Niwakumbushe tu jambo lolote likishakuwa la kitaifa hakuna mgeni anayeingia nchini na kubaki salama.

Tanzania ni moja ya nchi inayoogopwa sana kwenye mambo ya upande wa pili ikifuatiwa na Gambia, bendera yetu pale kati si mnaona ile rangi nyeusi haikuwekwa pale bahati mbaya wazee wa deep system washanielewa.

Asanteni
Kwahiyo hili jambo la kitaifa ndilo limeanza leo kufanyiwa uchawi? Timu ya taifa, na vilabu vya Tanzania vimeshawahi tolewa mara nyingi sana katika mashindano yakiwa ndani ya ardhi ya nyumbani kwao je huo mwenge na rangi nyeusi ya kwenye bendera zimeshindwa vipi kuziokoa? Timu za huko Zanzibar ndio usiseme wanabondewa hapo hapo kwao tena vipigo vya maana tu. Kama Tanzania ni hodari kwa uchawi na mpira ungekuwa unategemea uchawi zaidi basi nchi zinazoongoza kwa uchawi zingekuwa na makombe mengi sana ya kimataifa.
 
Hii fainal imewapalia muwaonee huruma, kuanzia viongozi wanatoa mashudu mpaka mashabiki wanatoa mashudu.
 
Safari hii kuna timu itapigwa kwenye fainali zote itakazo shiriki. Nipo nimekaa pale👉 😎

Kama tu kuna mtu haamini.
 
Simba Bingwa wa CAF Confedaration 2025, namba za kinajimu zinamfavour simba kuliko Berkane mbaya zaidi wanacheza ardhi ambayo ina historia kubwa ya vita za gizani katika nchi hii.

Wachambuzi wengi wenye uelewa mdogo wa mpira wa miguu hasa africa utawasikia wanavyochambua kiufundi wa kimpira kama wapo ulaya na kumpa credit Berkane ila wanasahau hapa ni Tanzania na uchawi wetu mkubwa ni mwenge wa uhuru.

Niwakumbushe tu jambo lolote likishakuwa la kitaifa hakuna mgeni anayeingia nchini na kubaki salama.

Tanzania ni moja ya nchi inayoogopwa sana kwenye mambo ya upande wa pili ikifuatiwa na Gambia, bendera yetu pale kati si mnaona ile rangi nyeusi haikuwekwa pale bahati mbaya wazee wa deep system washanielewa.

Asanteni
Ahadi za kina Mwijaku hizi.
 
Back
Top Bottom