Simba asipochukua kombe la CAF Jumapili hii baada ya mchezo nitawatumia watu 10 milioni 1 kila mmoja wa hapa JF

Simba asipochukua kombe la CAF Jumapili hii baada ya mchezo nitawatumia watu 10 milioni 1 kila mmoja wa hapa JF

Simba Bingwa wa CAF Confedaration 2025, namba za kinajimu zinamfavour simba kuliko Berkane mbaya zaidi wanacheza ardhi ambayo ina historia kubwa ya vita za gizani katika nchi hii.

Wachambuzi wengi wenye uelewa mdogo wa mpira wa miguu hasa africa utawasikia wanavyochambua kiufundi wa kimpira kama wapo ulaya na kumpa credit Berkane ila wanasahau hapa ni Tanzania na uchawi wetu mkubwa ni mwenge wa uhuru.

Niwakumbushe tu jambo lolote likishakuwa la kitaifa hakuna mgeni anayeingia nchini na kubaki salama.

Tanzania ni moja ya nchi inayoogopwa sana kwenye mambo ya upande wa pili ikifuatiwa na Gambia, bendera yetu pale kati si mnaona ile rangi nyeusi haikuwekwa pale bahati mbaya wazee wa deep system washanielewa.

Asanteni
Mkuu kwani nafasi zimeisha? Milioni ileee naiona mapema sana umalize muamala huo.
 
Back
Top Bottom