Simba Day: Simba SC yaisambaratisha Vital-O 6-0


Usizunguke, Nyoosha Maelezo Mulifungwa goli ngapi?
 

Nyie Utopolo Mwaka huu Nyote Mutajiita Simba.
Sisi tumabeba Makombe Nyinyi endeleeni kudai 20B.
 
Mo ni mfanyabiashara na anajua how to plays with the system ..lazima usifie wakubwa ili mambo yake yaende .Hii ni Africa na sio Marekani .huku ukimess up na system kwisha habari yako.
Hapa tunaochukia sisiemu..Mo amefanya katika muktadha wa kibiashara na maslahi yake zaidi....
 
Pamoja na kumualika diamond mmeshindwa hata kujaza uwanja kwa kujua kama mtaabika mkaleta team dhaifu ili mpate matokeo mliyo yatarajia
 
Sawa Mkuu, ila tumewafumua sana au ndyo uwezo tulionao kwa sasa Simba?

kama ndyo uwezo wetu tulionao basi safari hii tutarajie makubwa sana ligi ya mabingwa wa afrika
Vitaro utopolo tu mkuu tusijifariji
 
Kwa Simba hii nalipia king'amuzi mwaka mzima sitaki mzaha
 
Wacha maneno ya kukunia nazi hayo, hata kikiingia kichwa tu kama bao limetoka ujue tayari mimba. Mlifungwa ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…