Simba haina timu ya kuifunga Yanga. Ikitokea Simba imemfunga Yanga nakalia moto bila kuwa na nguo

Morison amepigwa ban mechi tatu ikiwepo ya jumapili
 
Huna akili
 
Wameota mapembe baada ya kuifunga ihefu ya angola wameshajiona wanacho kikosi chenye ubora kama walichonacho yanga, nipo naangalia nyuzi zao humu jinsi wanavyobwata na kuongea maneno meeengi yasiyokuwa na kichwa wala miguu na sisi tuliosoma cuba tunawapimia tu waendelee kupuyanga tutakutana uwanjani na itajulikana timu bora ni ipi, matokeo waliyopata kwa kucheza na timu dhaifu yamewapa ujasiri wa kudhani wanaenda kukutana tena na timu kama ile waliyocheza nayo, nyie tulieni subilieni wanachokwenda kukutana nacho uyo mgunda wanaempigie saluti wataanza kumpa za uso kuanzia jumatatu
 
Ndio mkae kwa kutulia acheni porojo kama wauza karanga, kikosi bora kitajulikana siku iyo, yanga sio ihefu ya angola mliyocheza nayo, yanga inabaki kuwa yanga mkae mnalijua hilo, mjue mnakwenda kukutana na timu bora na msiende na matokeo yenu mfukoni kama ambavyo mnafanya mnapocheza na timu nyingine, hii sio bata bullets wala de agosto hii ni yanga brother unapoongea vitu uwe na akiba ya maneno usijitoe ufahamu kiivyo utajidhalilisha bure
 

Mwenzako alisema aitwe Ashura na wewe unataka ukalie Moto!

Mna nini lakini mashabiki wa Yanga? Si useme tu unataka kutuonesha tabia yako au unataka kutoa kinyesi kwa kutumia Moto[emoji28]
 
Yanga na abovu sana mkuu. Kinachowasaidia Hapa ni ndumba. Sasa CAF Hamna Hii kitu na Ndio maana hawasogei. Tangu 1998.

Pia usajili Wao ni wa Kuifunga tu Simba. Ndio Raha yao
Msimu uliopita zile points 69 Yanga alizipata kwa kuifunga makolo pekee?
 
Yanga na abovu sana mkuu. Kinachowasaidia Hapa ni ndumba. Sasa CAF Hamna Hii kitu na Ndio maana hawasogei. Tangu 1998.

Pia usajili Wao ni wa Kuifunga tu Simba. Ndio Raha yao
Ukumbuke Simba wanashikilia rekodi ya uchawi barani Afrika na kupigwa faini na CAF ya Dola 20,000/=
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kuna moto mbili, kuna moto wa faya 🔥 , halafu kuna moto wa kupelekea moto.. Utakalia moto upi!? Halafu ukiwa umevua nguo, utakalia moto, utapelekewa moto shauri yakk😂 😂 😂
 
Mna kikosi bora?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…