Hakucheza ile game vs YANGA??Amesaidia timu kuwa kinara wa ligi kuu ikiwa na idadi kubwa zaidi ya magoli kuliko timu yoyote Tanzania.
Amesaidia timu kufuzu kucheza hatua ya makundi ya Klabu Bingwa ikiwa ni chini ya miezi 3 toka asajiliwe.
Kama uliangalia ile mechi utakumbuka magoli ya Yanga yamefungwa Okra akiwa kafanyiwa sub.Hakucheza ile game vs YANGA??
Vp aliisaidia timu yake ISICHAPWE NAO??
Mimi nakwambia kaka yangu ni kwamba trh 23 mtazikw hapo hapo. Mlitufanga hapo nyuma ila sio kwa sasa kama nyie nguvu zenu zote mnazimalizia Derby basi sisi nguvu zetu zipo potepote.Dada yangu, linapokuja suala la DABI, YANGA hana masikhara kabisa, mtawashiwa moto hadi mpoteane.
Yule mzungu alikua na lake jambo. Okra ni bora mara elfu moja ya Azizi waoKama uliangalia ile mechi utakumbuka magoli ya Yanga yamefungwa Okra akiwa kafanyiwa sub.
Aziz ni mchezaji mzuri ila hana msaada kwa timu. Anahold mpira muda mrefu... Yaani anakokota mpira mita 10-20 mpaka mpinzani anafunga njia zote. Akipoteza mpira hawezi kuretrieve. Movement zake zinatabirika mapema kama za Kibu tu.Yule mzungu alikua na lake jambo. Okra ni bora mara elfu moja ya Azizi wao
Sub ipi mzee we mwehu!!!Kama uliangalia ile mechi utakumbuka magoli ya Yanga yamefungwa Okra akiwa kafanyiwa sub.
Kwani shida yako nini? Okrah ni bora kuliko wachezaji wenu mzigo hapo Yanga. Huo ndo ukweliSub ipi mzee we mwehu!!!
Mayele 49', 82'
Okrah aliingia muda gani na kutoka muda gani??
Atakuwa kwenye hiyo 10%.Matusi ya nini?? BABA YAKO NI SHOGA?? Namfahamu ni YANGA damu, tangu kijijini huko. Au unahisi wewe hatukujui??
Unataka nitukane tu we malaya mzeeSub ipi mzee we mwehu!!!
Mayele 49', 82'
Okrah aliingia muda gani na kutoka muda gani??
Sasa ndio mkalie moto mkiwa uchi? Mambo mengine sio ya kuongea jamaniMsimu uliopita zile points 69 Yanga alizipata kwa kuifunga makolo pekee?
Usikalie moto uje ukalie 🍆 lang tareh 23Admins nimeweka hii ahadi kuwa ikitokea bahati mbaya. Maana si rahisi. Simba akamfunga yanga natuma picha humu nimekalia moto nikiwa uchi. Na naomba members wawili au watatu wawepo kama mashaidi. Nikishindwa nipigwe ban mwezi mzima.
Simba ni team mbovu kwa Yanga. Simba haiwezi mfunga Yanga. HAIWEZEKANI. NI RAHISI NGAMIA KUPITA KWENYE TUNDU LA SINDANO KULIKO SIMBA KUMFUNGA YANGA TAREHE 23.
Ili ausikilizie moto unavyopitamoMashabiki wa yanga bana..sasa kwa nini ukalie Moto ?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Admins nimeweka hii ahadi kuwa ikitokea bahati mbaya. Maana si rahisi. Simba akamfunga yanga natuma picha humu nimekalia moto nikiwa uchi. Na naomba members wawili au watatu wawepo kama mashaidi. Nikishindwa nipigwe ban mwezi mzima.
Simba ni team mbovu kwa Yanga. Simba haiwezi mfunga Yanga. HAIWEZEKANI. NI RAHISI NGAMIA KUPITA KWENYE TUNDU LA SINDANO KULIKO SIMBA KUMFUNGA YANGA TAREHE 23.
Unaweza kusema Tena?Aziz ni mchezaji mzuri ila hana msaada kwa timu. Anahold mpira muda mrefu... Yaani anakokota mpira mita 10-20 mpaka mpinzani anafunga njia zote. Akipoteza mpira hawezi kuretrieve. Movement zake zinatabirika mapema kama za Kibu tu.
Hutakalia moto ukiwa uchi. Ilikuwa kidogo ufanikishe. Mlaumu azizi K amekukosesha jambo lako.Nipeni Matokeo
Yaani unachowaza kuvua nguo na kukalia tu dah.Admins nimeweka hii ahadi kuwa ikitokea bahati mbaya. Maana si rahisi. Simba akamfunga yanga natuma picha humu nimekalia moto nikiwa uchi. Na naomba members wawili au watatu wawepo kama mashaidi. Nikishindwa nipigwe ban mwezi mzima.
Simba ni team mbovu kwa Yanga. Simba haiwezi mfunga Yanga. HAIWEZEKANI. NI RAHISI NGAMIA KUPITA KWENYE TUNDU LA SINDANO KULIKO SIMBA KUMFUNGA YANGA TAREHE 23.
Yamezusha eti Nabbi anaondoka ili yawe na ahueni.Nipeni Matokeo
Wewe ulitaka raha yetu iwe ipiYanga na abovu sana mkuu. Kinachowasaidia Hapa ni ndumba. Sasa CAF Hamna Hii kitu na Ndio maana hawasogei. Tangu 1998.
Pia usajili Wao ni wa Kuifunga tu Simba. Ndio Raha yao