Simba hakuna usajili ni kurundika wachezaji tu.

Hivi BURKNABE Kuna ligi ya ushindani kweli.
Hivi mbumbumbu mna shida Gani vichwani.
Hata ligi ya Eriteria ina MVP nendeni mkamsajili
 
Baada ya leicester kushuka, Madisson alienda Totthenham, kwahyo unataka kusema Madisson alikuwa ni mchezaji mbovu kwa sababu team yake imeshuka daraja..?
 
Baada ya leicester kushuka, Madisson alienda Totthenham, kwahyo unataka kusema Madisson alikuwa ni mchezaji mbovu kwa sababu team yake imeshuka daraja..?
Ilikuwa team ya EPL sio team ya Zambia
 
Ilikuwa team ya EPL sio team ya Zambia
Football is football mzee. Mimi ni yanga ila simba wamejitahidi kusajili, cha kuwaomba tu ni wawavumilie wachezaji wao. Bado wanajenga team, hawawezi ku compete at highest level.
 
Football is football mzee. Mimi ni yanga ila simba wamejitahidi kusajili, cha kuwaomba tu ni wawavumilie wachezaji wao. Bado wanajenga team, hawawezi ku compete at highest level.
Naheshimu mawazo yako mkuu
 
Sasa mkuuu mpaka pacome anaenda yanga tayari ligi ya bongo tulishawazidi kiwango au ulitaka wasajiliwe wapi maana sahv ligi zilizotuzidi ubora ni chache sana
Na bei za wachezaji wa huko ni balaa
 
Wakati huo Yanga Imemchukua Chama ambaye katoka Simba iliyoshika Nafasi ya Tatu kwenye Ligi na ikamchukua Dube ambaye Anatokea Azam iliyoshika nafasi ya Pili??
 
Wakati huo Yanga Imemchukua Chama ambaye katoka Simba iliyoshika Nafasi ya Tatu kwenye Ligi na ikamchukua Dube ambaye Anatokea Azam iliyoshika nafasi ya Pili??
Angalia ligi wanayotoka
Ligi ya Tanzania ni ligi Bora Africa ipo namba 5
 
Manchester United imemaliza nafasi ya 8 , swali ni je Bruno Fernandez ni mchezaji mbaya?
 
Hoja hii binafsi naona ni "Fallacy " ndugu zangu wana Yanga,kusajili mchezaji toka timu yenye nafasi ya chini kwenye msimamo haimaanishi siyo mchezaji mzuri...........

Walikuja MVP Bongo mfano Sarpong Michael alikuwa MVP Rwanda Yanga akafail,Onana alikuwa MVP Rwanda yupo Simba anaruka ruka tu kama mcheza rede....... usajili ni kamari anaweza kuja wa timu iliyoshuka daraja akakiwasha kuliko aliyekuja MVP.Chama alikuja Bongo toka Power Dynamo timu ikiwa na nafasi ya kawaida kwenye ligi yao, lakini Bongo amefanya vema.

NB:Tunashuhudia ni Mwamedi anasajili,mkianza kupigika,Mtuachie Ngungo boy wetu,asilaumiwe na msianze kudai B20 kwasababu ndiyo anayosajilia Mwamedi πŸ˜€

Simba guvu moya πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…