ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
- Thread starter
- #81
Hivi BURKNABE Kuna ligi ya ushindani kweli.Hoja gani kaandika huyo? Simba inasajili wachezaji bora kwenye timu walizotoka nyie mnasema inarundika wachezaji? mnajua hata maana ya kurundika kwanza?!
Nouma- beki bora wa ligi ya Burkina Faso.
Ahoua- MVP wa ligi kuu Ivory Coast.
Mnaimba ngonjera msizozielewa, au hamtaki Simba isajili kuziba mapengo yaliyoachwa na walioondoka na wanaoanza kuchoka?!
Hamjielewi.
Hivi mbumbumbu mna shida Gani vichwani.
Hata ligi ya Eriteria ina MVP nendeni mkamsajili