Simba kuanzia Hatua ya 2 CAFCL, kukutana na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos na African Stars

[emoji599] 𝗕π—₯π—˜π—”π—žπ—œπ—‘π—š π—‘π—˜π—ͺ𝗦

Timu ya Wananchi Yanga imepangwa kukutana na timu ya Asas Fc Kutoka nchini Djibouti hatua ya awali kwenye mashindano ya kimataifa CAF CHAMPION LEAGUE.

Kama Yanga itafanikiwa kuwatoa Asas Fc watakutana na El Marrehk ya Sudan ama As otoho.Mechi zote Yanga wataanzia ugenini.

#timuyawananchi #caf #daimambelenyumamwiko 🟑🟒

NB : YANGA inaenda kushangaza Tena Africa.......hakuna na robo fainali [emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…