ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Dunia ina badilika mpira ni biashara huwezi kaa nyumbani yaani club yako kuichangia elf 10 unaona kazi baadae una kulalamika usajiriPR ya Simba imekaa poa ukweli PR ya Yanga bado iko chini na imejaa ujivuni
Tulitoa maoni kuwa kiingilio ni kikubwa na hamasa ni ndogo wakati mda ni mfupi lakini tukaishia kufokewa na kupewa mifano ya Manchester united au Liverpool tena walienda mbali na kutoa mfano wa real Madrid
Wasipojifunza kwa zama hizi za ushindani utashinda Kila kitu ila utaishia kupata mashabiki wachache
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app