Simba kuhudhiria wengi Simba day ni njia nyingine ya kuishinda Yanga nje ya uwanja

Shabiki katoka Dodoma mpaka Dar kwa Sababu viingilio viko chini
Yanga wako tayari kulipa kuendesha timu Yao kwa bakuri TU. Simba wanataka raha ya bure, ndio maana mo anatamba.
 
Hakuna ubishi kuwa lengomama la matamasha haya ya vilabu ni kukusanya fedha kwaajili ya klabu, hata ukimhoji Mzee Dalali aliyeanzisha Simba day atakwambia lengo lilikuwa kukusanya pesa. Simba kima cha chini ni Sh. 5,000 na Yanga kilikuwa Sh 10,000, hii ni kusema kama kuwa yanga walihitaji watu 20,000 ili kukusanya sh. 200,000,000 lakini Simba watahitaji watu 40,000 ili kukusanya kiasi hichohicho cha sh. 200,000,000, ni hesabu tu. Hii ni kusema inawezekana Simba wakawa wengi lakini wakazidiwa mapato ya mlangoni na Yanga wachache. Kitu kikubwa kwa Simba ni idadi kubwa ya wanasimba watakaokwenda kujitibu sonona kwakutumia furaha ya tamasha la simba day.
Hela inakusanywa direct na indirect kumbuka siku ya mchezo kuna jezi zinauzwa pale nje kwa mkapa,so watu wakiwa wengi mauzo pia yanakuwa mengi,enzi za dalali simba haikuwa na hela so ni sawa kusema hivyo,kwa miaka hii simba day ni zaidi ya kutafuta hela bali kujibrand,maandalizi ya tamasha ni makubwa mno kuliko kinachokusanywa,so kukubwa ni kucreate awareness na kujibrand,lule vibe sio mchezo,yule kocha wa simba hajawahi kuona ile kitu,kidogo mschozi yamtoke
 
Unajibrand wapi? Simba IPO tangu 1936, inafahamika kuwa kwa misimu 2 mfululizo haikupata taji lolote. Watazame waliokuja Simba day wengi walivaa jezz za zamani zenye sportpesa na wengine za msimu uliopita. Mataji ya ndani na nje ndio yanayokuza timu sio Simba Day.
 
Unajua maana ya branding?
 
Unajua maana ya branding?
Ndio maana mo kaujaza uwanja mwenyewe katika mchAkato wa branding. Mama alikuwa mgeni rasmi na picha nyingi sana. Hiyo ndiyo branding unayoisema?
 
So mo alipita kila nyumba anakusanya watu!mbona fungulia mbwa yenu haikujaza uwanja,simba day ni orijino na ile yenu ni fake maana mliiga vitu msivyovijua,nje ya uwanja Simba ni dubwasha kubwa sana Africa
 
Inategemeana na malengo ya tukio, Yanga ilihitaji pesa sio watu wanaokuja kuuza sura na kutaka kuhurumiwa. Starehe yetu ya mpira tuibebe wote. Kiju Zima lione mechi live kwa book 3 hiyo hapana kwa Yanga, katafute starehe nyingine.
 
M

Mbona tumeiona kwa jero huku vibanda umiza
 
Back
Top Bottom