Simba kuhudhiria wengi Simba day ni njia nyingine ya kuishinda Yanga nje ya uwanja

Dunia ina badilika mpira ni biashara huwezi kaa nyumbani yaani club yako kuichangia elf 10 unaona kazi baadae una kulalamika usajiri

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Okay sawa malengo ya Simba msimu uliopita ni yapi na lipi mmefanikiwa?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kwa kulitambua ilo mkuu, hukutakiwa kuweka comparison na Yanga.
 
Yanga haishindani na simba
Simba ndo inashindana na Yanga

Jezi kileleni tushapeleka mkaiga
Rais tushakutana naye tayari simba nao wanasema wamepiga bao

Siku ya mwananchi yanga tayari simba ndo wanasindana

Sasa documentary ni j3 semeni mnaiga lini
 
Yanga haishindani na simba
Simba ndo inashindana na Yanga

Jezi kileleni tushapeleka mkaiga
Rais tushakutana naye tayari simba nao wanasema wamepiga bao

Siku ya mwananchi yanga tayari simba ndo wanasindana

Sasa documentary ni j3 semeni mnaiga lini
kuna mmoja kasema simba tayari imeshafanya documentary mwaka 1974. Yanga mnatutesa sana
 
Weak area Kivipi mkuu? Wakati unalinganisha na Yanga, ilifaa pia ulinganishe na kima Cha chini Cha kiingilio kwenye events zote mbili.
Yanga walifungulia wooh woohhh na bado hawakujaza
 
Hongera mtani, naona mmeongeza kombe jingine kabatini. Kombe la kujaza uwanja
Imevuja: Baada ya mama kukubali mwaliko, Kuna watu wachache matajiri walizinunua tiketi nyingi sana na kuzigawa matawini bure kimyakimya ili kuujaza uwanja.
 
Ukweli ni huu hapa,kataa kubali
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa kulitambua ilo mkuu, hukutakiwa kuweka comparison na Yanga.
Wenye tiketi halali za kujinunulia walibaki nje na wenye tiketi za boss walikuwa ndani. Tulijua Ile sold out ni ya mchongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…