Simba na ndoto zao za Robo Fainali Mwisho leo. SImba akishinda leo ole wangu, niadhibiwe vibaya sana

Ila mods wangekua wanaonyesha mfano...humu tuko watu na akili zetu huwezi kuta tunatoa matamko hovyo hovyo coz mpira unamatokeo yoyote sasa mtu kama huyu mpk dkk hii angekua ametupwa gereza la Ban...
 
Mods watoa Ban tutawadharau kwa hili..
 
Reactions: EEX
Paw
Active
Kaomba ban huyu
 
Tunajua Yanga anaongoza kundi kwasababu ameshinda mechi zote siyo km hawa simba wachovu.

Sisi Yanga gumekusanya pointi 2 baada ya miaka 27 tuko vizuri, siyo km hao simba miezi 2 tu wana pointi 5.

Yanga klabu bingwa ndiyo nyumbani kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…