mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
[emoji1787][emoji23][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃😅😅😁😁
Upasue KabisaEe hukohuko penye mwiko napataka.
Amechagua Tunataka Kuona UtekelezajiHuyu Chizi anataka adhabu gani
Wa NiniWaarabu wana ugwadu
Nasema Amepigwa TuLeo hatutaki droo tumezichoka, piga ua yeyote apigwe leo.
NakaziaIla mods wangekua wanaonyesha mfano...humu tuko watu na akili zetu huwezi kuta tunatoa matamko hovyo hovyo coz mpira unamatokeo yoyote sasa mtu kama huyu mpk dkk hii angekua ametupwa gereza la Ban...
Km amekusika ataenda kuvaa jinzi huyu ungekaa tu kimya na msuli wake angekiona cha mtema kuniSema, mnyama akishinda ufanywe nini huko nyuma? sema mwenyewe.
PawYaani mpaka sasa ubao unasoma Wydad 2 SImba 0..... na SImba wanajitahidi kupambana sana ili wapate hata Draw. Maalimu anasema hali ni Mbaya kwa Simba sababu majini yote kwa siku ya leo yanaonekana kuwa upande wa Wageni. SImba hapati kitu le ndo mwisho wake wa kuwa na ndoto za kuenda kucheza robo fainali
hawa SImba ni wachovu sana mpaka mwishowe tunawaonea huruma tu..... team haina kitu imejichokea haina pumzi haina mbinu .... utadhani Temeke Combine.
NIpo hapa Leo SImba akishinda nipigwe ban ya siku 3
Watu wakikukuta unamwadhibu chizi wewe ndo utakuwa chizi .maradufu! Huyu chizi wa jf huwa hatutilii maanani maneno yake!Huyu Chizi anataka adhabu gani
Tunajua Yanga anaongoza kundi kwasababu ameshinda mechi zote siyo km hawa simba wachovu.Yaani mpaka sasa ubao unasoma Wydad 2 SImba 0..... na SImba wanajitahidi kupambana sana ili wapate hata Draw. Maalimu anasema hali ni Mbaya kwa Simba sababu majini yote kwa siku ya leo yanaonekana kuwa upande wa Wageni. SImba hapati kitu le ndo mwisho wake wa kuwa na ndoto za kuenda kucheza robo fainali
hawa SImba ni wachovu sana mpaka mwishowe tunawaonea huruma tu..... team haina kitu imejichokea haina pumzi haina mbinu .... utadhani Temeke Combine.
NIpo hapa Leo SImba akishinda nipigwe ban ya siku 3
Yaani mpaka sasa ubao unasoma Wydad 2 SImba 0.....
hawa SImba ni wachovu sana mpaka mwishowe tunawaonea huruma tu..... team haina kitu imejichokea haina pumzi haina mbinu .... utadhani Temeke Combine.
NIpo hapa Leo SImba akishinda nipigwe ban ya siku 3
2-0Type matoleo ya mechi kiongozi, maana wengine game hatujaangalia aiseeh!!
Tumebanwa na majukum