Simba na yanga ndio tatizo kubwa la kutumiwa kisiasa na kuzolotesha michezo.

Simba na yanga ndio tatizo kubwa la kutumiwa kisiasa na kuzolotesha michezo.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Wachezaji wazawa wengi chipukizi wanawaza kujulikana kupitia simba na yanga.

Ndoto za vipaji vya watu vikikosa kucheza simba na yanga ndio basi.

Siasa nayo imekuwa kwenye simba na yanga mpaka bungeni na raisi.

Hakuna la maana kwa wachezaji simba na yanga ni bora wazeeke simba na yanga wala sio lucas mwashamba Fc.
 
Back
Top Bottom