Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Uwezo wa kimpira nikimaanisha kiwango cha wachezaji uwanjaniNi kipi kinachokufanya useme KMKM imeizidi Yanga kiuwezo?
Kumbuka sio kila timu inayopata matokeo ina kiwango
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwezo wa kimpira nikimaanisha kiwango cha wachezaji uwanjaniNi kipi kinachokufanya useme KMKM imeizidi Yanga kiuwezo?
Kwasasa jukwaa limefanywa kuwa la kipumbavu na wana Simba Sc ukilinganisha na muda gani ambao lilikuwa bora? Wewe uliyeingia humu miezi mitatu iliyopita unajuaje uzuri wa hili jukwaa kwa miaka ya nyuma?Mashabiki wa simba hawataki hivyo ndo wamefanya jukwaa lionekane la kipumbavu
kubisha bila hoja wakati kila kitu kipo wazi.
Unaongea kuhusu nchi ya Nigeria ambayo miaka iende irudi wanacheza Afcon, Chan na World cupRivers united walipokutia mkwaju nje ndani uliwahi kufanya utafiti kujua ipo nafasi ya ngapi?
Kweli tumeshuhudia mkipelekeahwa na underdog wa Zenji. Kama hamtaingia sokoni, timu hamna hapoBaada ya kushuhudia wana utopolo wakiruka ruka Sasa ni muda wa kushuhudia kabumbu safi likitandazwa na lunyasi, mnyama mkali simbaaaa
Wewe Mzee wa mwiko nyuma. Nyuma pako sawa kweli au kuna mwiko!?Unaongea kuhusu nchi ya Nigeria ambayo miaka iende irudi wanacheza Afcon, Chan na World cup
Unaongea kuhusu nchi ambayo ina wachezaji zaidi ya 500 wanacheza soka nje ya Bara la Afrika
Unaongea kuhusu nchi ambayo ina academy za soka nyingi kuliko nchi yeyote barani Afrika
Unaongea kuhusu nchi ambayo kwenye viwango vya soka barani Afrika ipo kwenye 10 bora
Ok! Tuje tuizungumzie kisiwa cha Zanzibar chenye timu ya mlandege iliyopo nafasi ya 10 bila udhamini wowote kwenye msimamo na ikatoa sare na Simba iliyotia Full mkoko
Nikikumbuka river
Siwezi ku argue ni kijana asiyeweza kuongea sentensi moja bila kutukanaWewe Mzee wa mwiko nyuma. Nyuma pako sawa kweli au kuna mwiko!?
Club gani ya Nigeria inatisha hapa Africa Mzee wa takomwiko nyuma!?
Moira ni mipango siyo kukurupuka tu na wachezaji wa kizanzibari ambao bei zao ni kama za kuku wakatuvunjia wachezaji wetu wenye thamani kubwa.Kweli tumeshuhudia mkipelekeahwa na underdog wa Zenji. Kama hamtaingia sokoni, timu hamna hapo
Umeshindwa point mwanangu wa nyuma kuna mwiko.Siwezi ku argue ni kijana asiyeweza kuongea sentensi moja bila kutukana
Katafute wapumbavu wenzako
Acha siasa mkuu, tunaongelea hiihii Nigeria ambayo kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa na nafasi mbaya katika ngazi ya vilabu.Unaongea kuhusu nchi ya Nigeria ambayo miaka iende irudi wanacheza Afcon, Chan na World cup
Unaongea kuhusu nchi ambayo ina wachezaji zaidi ya 500 wanacheza soka nje ya Bara la Afrika
Unaongea kuhusu nchi ambayo ina academy za soka nyingi kuliko nchi yeyote barani Afrika
Unaongea kuhusu nchi ambayo kwenye viwango vya soka barani Afrika ipo kwenye 10 bora
Ok! Tuje tuizungumzie kisiwa cha Zanzibar chenye timu ya mlandege iliyopo nafasi ya 10 bila udhamini wowote kwenye msimamo na ikatoa sare na Simba iliyotia Full mkoko
Mkuu unaniqoute wewe lakini na hakuna sehemu nimekujibu unajua kwanini? staki banWewe uliyeingia humu miezi mitatu iliyopita unajuaje uzuri wa hili jukwaa kwa miaka ya nyuma?
Jadiri mpira, acha kuleta hoja zisizo na mantiki.
Hakuna club yoyote ya Nigeria inayotisha hala Africa kwa sasa, siri ya wao kuwa na wachezaji wengi nje ya nchi ni academy nzuri zinazochagizwa na mawakala wa wachezaji wenye weredi.Siwezi ku argue ni kijana asiyeweza kuongea sentensi moja bila kutukana
Katafute wapumbavu wenzako
Nijibu swali Mzee Nyuma Mwiko.Timu nzima ya simba imejaa wavunja kuni watupu
Kwani yanga mnavyojiita "wakimataifa" hua mna maanisha nini, Kama mnaanza kujiengua kwenye hizo rank baada ya kupokea vipigo?Unaongea kuhusu nchi ya Nigeria ambayo miaka iende irudi wanacheza Afcon, Chan na World cup
Unaongea kuhusu nchi ambayo ina wachezaji zaidi ya 500 wanacheza soka nje ya Bara la Afrika
Unaongea kuhusu nchi ambayo ina academy za soka nyingi kuliko nchi yeyote barani Afrika
Unaongea kuhusu nchi ambayo kwenye viwango vya soka barani Afrika ipo kwenye 10 bora
Ok! Tuje tuizungumzie kisiwa cha Zanzibar chenye timu ya mlandege iliyopo nafasi ya 10 bila udhamini wowote kwenye msimamo na ikatoa sare na Simba iliyotia Full mkoko
Rivers ilikuwa timu ya Nne kwenye msimamo na tena point difference ya 3 na anayeongoza ligiAcha siasa mkuu, tunaongelea hiihii Nigeria ambayo kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa na nafasi mbaya katika ngazi ya vilabu.
Mambo ya nchi kuwa na wachezaji wengi wanaocheza nje hayahusiani kabisa na ubora vilabu vya ndani ya nchi, kwakua mafanikio hayo huwa yanaletwa na academy bora kwenye nchi hizo na sio ubora wa vilabu.
Mbona Senegal karibia wachezaji wake wote wanacheza ulaya ila vilabu vyao vya ndani ni dhaifu?
Rivers Utd ilikuwa ni ya ngapi wakati inawafunga?
Tulia mwanangu comments zako ni kama ushuzi wa mjamzito.japo timu yetu inacheza timu bovu ila ipo siku tu.
Simba nguvu moja
mirinda moja.
Unapoita mashabiki wa Simba Sc makolo ujue umenigusa moja kwa moja mkuu[emoji23][emoji23].Wewe unaposema mashabiki wa Simba ndoi wanaoleta upumbavu kwenye hili jukwaa ilihali wewe ndio upo kwenye uzi wa Simba Sc ili kututusi ni lazima ushambuliwe tu.Mkuu unaniqoute wewe lakini na hakuna sehemu nimekujibu unajua kwanini? staki ban
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... mkuu sina mbavu, iyo ni dakika ya ngap goli limepatikana?Gooaaal Kibu denis straika wa simba raia wa Ufaransa nchi yenye vijana wenye vipaji anawapa goli la kuongoza Naam simba 1 mlambege 0.
Udhamini una facilate vipi kwenye ushindi?Unaongea kuhusu nchi ya Nigeria ambayo miaka iende irudi wanacheza Afcon, Chan na World cup