Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

Ni kipi kinachokufanya useme KMKM imeizidi Yanga kiuwezo?
Uwezo wa kimpira nikimaanisha kiwango cha wachezaji uwanjani

Kumbuka sio kila timu inayopata matokeo ina kiwango
 
Mashabiki wa simba hawataki hivyo ndo wamefanya jukwaa lionekane la kipumbavu
kubisha bila hoja wakati kila kitu kipo wazi.
Kwasasa jukwaa limefanywa kuwa la kipumbavu na wana Simba Sc ukilinganisha na muda gani ambao lilikuwa bora? Wewe uliyeingia humu miezi mitatu iliyopita unajuaje uzuri wa hili jukwaa kwa miaka ya nyuma?

Jadiri mpira, acha kuleta hoja zisizo na mantiki.
 
Rivers united walipokutia mkwaju nje ndani uliwahi kufanya utafiti kujua ipo nafasi ya ngapi?
Unaongea kuhusu nchi ya Nigeria ambayo miaka iende irudi wanacheza Afcon, Chan na World cup

Unaongea kuhusu nchi ambayo ina wachezaji zaidi ya 500 wanacheza soka nje ya Bara la Afrika

Unaongea kuhusu nchi ambayo ina academy za soka nyingi kuliko nchi yeyote barani Afrika

Unaongea kuhusu nchi ambayo kwenye viwango vya soka barani Afrika ipo kwenye 10 bora

Ok! Tuje tuizungumzie kisiwa cha Zanzibar chenye timu ya mlandege iliyopo nafasi ya 10 bila udhamini wowote kwenye msimamo na ikatoa sare na Simba iliyotia Full mkoko
 
Baada ya kushuhudia wana utopolo wakiruka ruka Sasa ni muda wa kushuhudia kabumbu safi likitandazwa na lunyasi, mnyama mkali simbaaaa
Kweli tumeshuhudia mkipelekeahwa na underdog wa Zenji. Kama hamtaingia sokoni, timu hamna hapo
 
Unaongea kuhusu nchi ya Nigeria ambayo miaka iende irudi wanacheza Afcon, Chan na World cup

Unaongea kuhusu nchi ambayo ina wachezaji zaidi ya 500 wanacheza soka nje ya Bara la Afrika

Unaongea kuhusu nchi ambayo ina academy za soka nyingi kuliko nchi yeyote barani Afrika

Unaongea kuhusu nchi ambayo kwenye viwango vya soka barani Afrika ipo kwenye 10 bora

Ok! Tuje tuizungumzie kisiwa cha Zanzibar chenye timu ya mlandege iliyopo nafasi ya 10 bila udhamini wowote kwenye msimamo na ikatoa sare na Simba iliyotia Full mkoko
Wewe Mzee wa mwiko nyuma. Nyuma pako sawa kweli au kuna mwiko!?

Club gani ya Nigeria inatisha hapa Africa Mzee wa takomwiko nyuma!?
 
Kweli tumeshuhudia mkipelekeahwa na underdog wa Zenji. Kama hamtaingia sokoni, timu hamna hapo
Moira ni mipango siyo kukurupuka tu na wachezaji wa kizanzibari ambao bei zao ni kama za kuku wakatuvunjia wachezaji wetu wenye thamani kubwa.

Nitajie mchezaji gani hapo Zanzibar Mwenye thamani kubwa!?
 
Siwezi ku argue ni kijana asiyeweza kuongea sentensi moja bila kutukana

Katafute wapumbavu wenzako
Umeshindwa point mwanangu wa nyuma kuna mwiko.
images (9).jpeg
 
Unaongea kuhusu nchi ya Nigeria ambayo miaka iende irudi wanacheza Afcon, Chan na World cup

Unaongea kuhusu nchi ambayo ina wachezaji zaidi ya 500 wanacheza soka nje ya Bara la Afrika

Unaongea kuhusu nchi ambayo ina academy za soka nyingi kuliko nchi yeyote barani Afrika

Unaongea kuhusu nchi ambayo kwenye viwango vya soka barani Afrika ipo kwenye 10 bora

Ok! Tuje tuizungumzie kisiwa cha Zanzibar chenye timu ya mlandege iliyopo nafasi ya 10 bila udhamini wowote kwenye msimamo na ikatoa sare na Simba iliyotia Full mkoko
Acha siasa mkuu, tunaongelea hiihii Nigeria ambayo kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa na nafasi mbaya katika ngazi ya vilabu.

Mambo ya nchi kuwa na wachezaji wengi wanaocheza nje hayahusiani kabisa na ubora vilabu vya ndani ya nchi, kwakua mafanikio hayo huwa yanaletwa na academy bora kwenye nchi hizo na sio ubora wa vilabu.

Mbona Senegal karibia wachezaji wake wote wanacheza ulaya ila vilabu vyao vya ndani ni dhaifu?

Rivers Utd ilikuwa ni ya ngapi wakati inawafunga?
 
Wewe uliyeingia humu miezi mitatu iliyopita unajuaje uzuri wa hili jukwaa kwa miaka ya nyuma?

Jadiri mpira, acha kuleta hoja zisizo na mantiki.
Mkuu unaniqoute wewe lakini na hakuna sehemu nimekujibu unajua kwanini? staki ban
 
Siwezi ku argue ni kijana asiyeweza kuongea sentensi moja bila kutukana

Katafute wapumbavu wenzako
Hakuna club yoyote ya Nigeria inayotisha hala Africa kwa sasa, siri ya wao kuwa na wachezaji wengi nje ya nchi ni academy nzuri zinazochagizwa na mawakala wa wachezaji wenye weredi.
 
Unaongea kuhusu nchi ya Nigeria ambayo miaka iende irudi wanacheza Afcon, Chan na World cup

Unaongea kuhusu nchi ambayo ina wachezaji zaidi ya 500 wanacheza soka nje ya Bara la Afrika

Unaongea kuhusu nchi ambayo ina academy za soka nyingi kuliko nchi yeyote barani Afrika

Unaongea kuhusu nchi ambayo kwenye viwango vya soka barani Afrika ipo kwenye 10 bora

Ok! Tuje tuizungumzie kisiwa cha Zanzibar chenye timu ya mlandege iliyopo nafasi ya 10 bila udhamini wowote kwenye msimamo na ikatoa sare na Simba iliyotia Full mkoko
Kwani yanga mnavyojiita "wakimataifa" hua mna maanisha nini, Kama mnaanza kujiengua kwenye hizo rank baada ya kupokea vipigo?
 
japo timu yetu inacheza timu bovu ila ipo siku tu.
Simba nguvu moja
mirinda moja.
 
Acha siasa mkuu, tunaongelea hiihii Nigeria ambayo kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa na nafasi mbaya katika ngazi ya vilabu.

Mambo ya nchi kuwa na wachezaji wengi wanaocheza nje hayahusiani kabisa na ubora vilabu vya ndani ya nchi, kwakua mafanikio hayo huwa yanaletwa na academy bora kwenye nchi hizo na sio ubora wa vilabu.

Mbona Senegal karibia wachezaji wake wote wanacheza ulaya ila vilabu vyao vya ndani ni dhaifu?

Rivers Utd ilikuwa ni ya ngapi wakati inawafunga?
Rivers ilikuwa timu ya Nne kwenye msimamo na tena point difference ya 3 na anayeongoza ligi

Kwahyo unawafananisha Wazanzibar na Nigeria kwenye mpira mkuu

Shame on you

Na hiki kikosi chako cha leo ungeweka wachezaji wa Sub ulikuwa unafungwa goli za kutosha

Timu imejaa wavunja kuni watupu
 
Mkuu unaniqoute wewe lakini na hakuna sehemu nimekujibu unajua kwanini? staki ban
Unapoita mashabiki wa Simba Sc makolo ujue umenigusa moja kwa moja mkuu[emoji23][emoji23].Wewe unaposema mashabiki wa Simba ndoi wanaoleta upumbavu kwenye hili jukwaa ilihali wewe ndio upo kwenye uzi wa Simba Sc ili kututusi ni lazima ushambuliwe tu.

Hâta hivyo haupaswi kuyachukulia serious mambo ya utani wa humu.
 
Gooaaal Kibu denis straika wa simba raia wa Ufaransa nchi yenye vijana wenye vipaji anawapa goli la kuongoza Naam simba 1 mlambege 0.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... mkuu sina mbavu, iyo ni dakika ya ngap goli limepatikana?
 
Unaongea kuhusu nchi ya Nigeria ambayo miaka iende irudi wanacheza Afcon, Chan na World cup

Unaongea kuhusu nchi ambayo ina wachezaji zaidi ya 500 wanacheza soka nje ya Bara la Afrika

Unaongea kuhusu nchi ambayo ina academy za soka nyingi kuliko nchi yeyote barani Afrika

Unaongea kuhusu nchi ambayo kwenye viwango vya soka barani Afrika ipo kwenye 10 bora

Ok! Tuje tuizungumzie kisiwa cha Zanzibar chenye timu ya mlandege iliyopo nafasi ya 10 bila udhamini wowote kwenye msimamo na ikatoa sare na Simba iliyotia Full mkoko
Udhamini una facilate vipi kwenye ushindi?

Ujue sio tu kuwa nafasi ya 10 au ya kwanza, kwasababu pengine huyo mdhamini anakazi ya kutoa kibunda kwa timu pinzani ili kupata uwepesi ili kuhakikisha anabika nafasi ya 1
 
Back
Top Bottom