Nyie sinndo mlikua mna hamu na derby, kila tukibishana oooh subiri tarehe 11 kuna mayeleHahaha kwa kuzuia mashambulizi maana fwd za yanga ni hatari onyango kala tobo kaona bora Kadi tu
Umeona lile tobo, kafanya nn cha zaidi ama hili la kuvizia mayele anateleza anachukua mpira ndo unaona jamaa anajuahahahaha Babu Onyango Leo mtaalamu kamnyoa para nakupaka dawa Leo Misukule haitoboi pale hata ilogee kilingeni msata!
😁😁😁
Kagere kapiga cross nzuri imekosa mmaliziaji
@Scars jamaa anauliza hukuTunapomsifia onyango na inonga (center backs) karibu dakika 45 za mchezo ni kiashiria kuwa utopolo wametubana.
Nisahihisheni maana niko mbali na tv chogo yangu
Iwe plan ya kuzuia na kupata goli nyie plan n kuzuia tu maana mnajua yanga ni hatari mnoSasa acheze bila kuzuia?Utopolo mnatumia nini kufikiri?
Huu n ukweli wa wazi watapita kama hawaoni na hawatakujibu mkuuTunapomsifia onyango na inonga (center backs) karibu dakika 45 za mchezo ni kiashiria kuwa utopolo wametubana.
Nisahihisheni maana niko mbali na tv chogo yangu
Kama lipo njiani bora tu mlifate na bodaboda, kwa namna navyoona hapa yanga kushinda ni ngumu aiseeTunawapa alert
Goli lipo njiani.
Ndo hivo yaani siku akiboroga watu ni matusi tunasahau kila kituNdio hapo nasisi mashabiki tunatakiwa moments kama hizi tuwe tunazikumbuka pale ambapo siku hiyo mchezaji anacheza chini ya kiwango
Hakuna kitu kama hicho, ebu sikiliza uchambuzi huo kama kuna hicho kitu unacho kisemaBangala Yanick alianguka na kupata majeraha akawa amegaagaa muda mrefu kuona hivyo Refa ikabidi astopishe ile move ya goal
Kuna options 2;Kama lipo njiani bora tu mlifate na bodaboda, kwa namna navyoona hapa yanga kushinda ni ngumu aisee
Uto hawajawahi kuwa na uwezoSipo uwanjani nipo tu ndani nacheki, btw unaona the so called utopolo wanavyocheza mpira bila wasi wala kupaniki
Sawa basi hawa Watangazaji wamepotosha maana wengine wanasema ni kama Refa aliona Morison kaushika kumbe sioHakuna kitu kama hicho, ebu sikiliza uchambuzi huo kama kuna hicho kitu unacho kisema
Kapombe alikua kwenye oerfect position ya kwenda na mpira ila refa tu kafanya huruma kuwabeba
Tatizo mnawastua watu maana sio wote wanaangalia mpiraUnataka zile za mikia tu kushangilia?. Bahati mbaya humu mtandaoni huwezi kuwazuia mashabiki wote wasishangilie kama utakavyo. Utaishia tu kujizeesha peke yako
Hao wamezungumzia kwa perception ya refa sio kihalisia, kwani marejeo yanavyoonesha kuna sehemu morison kaunawa ule mpira?Sawa basi hawa Watangazaji wamepotosha maana wengine wanasema ni kama Refa aliona Morison kaushika kumbe sio
Hiyo option ya pili ondoaKuna options 2;
1.Kudraw
2.Yanga anashinda
Sio hakuunawaHao wamezungumzia kwa perception ya refa sio kihalisia, kwani marejeo yanavyoonesha kuna sehemu morison kaunawa ule mpira?
Haiana shida jiandaeni kwenda na nyumbani na mimba ya mapacha.. maana the fire is soo heavy😅Uto hawajawahi kuwa na uwezo
Hahaha unawachanganya watu ujue?Utopolo piga hao Mikia fc