Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Hahaha kwa kuzuia mashambulizi maana fwd za yanga ni hatari onyango kala tobo kaona bora Kadi tu
Nyie sinndo mlikua mna hamu na derby, kila tukibishana oooh subiri tarehe 11 kuna mayele

Haya tarehe 11 ndio hii na mayele ndo yule uliyemuona pale, mipira inampita na mitege yake kama banio la ugali ana mbwera tu mamamake
 
hahahaha Babu Onyango Leo mtaalamu kamnyoa para nakupaka dawa Leo Misukule haitoboi pale hata ilogee kilingeni msata!
😁😁😁
Umeona lile tobo, kafanya nn cha zaidi ama hili la kuvizia mayele anateleza anachukua mpira ndo unaona jamaa anajua
 
Tunapomsifia onyango na inonga (center backs) karibu dakika 45 za mchezo ni kiashiria kuwa utopolo wametubana.
Nisahihisheni maana niko mbali na tv chogo yangu
@Scars jamaa anauliza huku
 
Tunapomsifia onyango na inonga (center backs) karibu dakika 45 za mchezo ni kiashiria kuwa utopolo wametubana.
Nisahihisheni maana niko mbali na tv chogo yangu
Huu n ukweli wa wazi watapita kama hawaoni na hawatakujibu mkuu

Timu imeelemewa hii
 
Bangala Yanick alianguka na kupata majeraha akawa amegaagaa muda mrefu kuona hivyo Refa ikabidi astopishe ile move ya goal
Hakuna kitu kama hicho, ebu sikiliza uchambuzi huo kama kuna hicho kitu unacho kisema

Kapombe alikua kwenye oerfect position ya kwenda na mpira ila refa tu kafanya huruma kuwabeba
 
Hakuna kitu kama hicho, ebu sikiliza uchambuzi huo kama kuna hicho kitu unacho kisema

Kapombe alikua kwenye oerfect position ya kwenda na mpira ila refa tu kafanya huruma kuwabeba
Sawa basi hawa Watangazaji wamepotosha maana wengine wanasema ni kama Refa aliona Morison kaushika kumbe sio
 
Unataka zile za mikia tu kushangilia?. Bahati mbaya humu mtandaoni huwezi kuwazuia mashabiki wote wasishangilie kama utakavyo. Utaishia tu kujizeesha peke yako
Tatizo mnawastua watu maana sio wote wanaangalia mpira

Shangwe zinapokua nyingi watubwanweza kutafsiri kama ni goli

Swala la vyenga simba limezoeleka na ndio maana hata zikipigwa watu wanachukulia normal tu
 
Hii simba si tishio tena.Tena wasishangae wakifungwa leo.Kosa sn kuwauza Kondeboy na Chama
 
Sawa basi hawa Watangazaji wamepotosha maana wengine wanasema ni kama Refa aliona Morison kaushika kumbe sio
Hao wamezungumzia kwa perception ya refa sio kihalisia, kwani marejeo yanavyoonesha kuna sehemu morison kaunawa ule mpira?
 
Back
Top Bottom