Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Na mayele alikuja kwa mbwembwe eti ikawa kila mechi anafunga watu wa utopwinyo wakawa wanadhani ni kiwango mpaka pale jana alipowathibitishia kiwango chake halisi
 
We si unajifanyaga huamini ushirikina hao waganga umewajulia wap tena?
Hili ni jukwaaa la michezo zingatia muktadha

afu waganga kwani mahospitalini hawapo?

Utopolo kwanini akili zenu zipo locked kwenye mifuko ya hersi?
 
Mechi zetu makolo ziwe mchana saa nane, tunatumia umeme bure tu
nye wenyewe mnapenda kuangalia ,si uliwaona wenzako leo leo uwanjani wanashangilia mwishoni wakaonyesha sura za majonzi
 
Tatizo Moja La Yanga Huwa Hawana Hesabu na Point za Ligi. Sahizi Round ya 5 imekamilika Simba kwa Kusua sua Tuna Alama 11 na Yanga wana 15

Ikifika muda simba imetulia kiwanjani na Mbinu zao zinakuwa mpya kwa makocha wengi, Yanga Itakuwa imeshazoeleka [emoji28] Hapo Mkifungwa Game Moja Tu, Tunapumlia nyuma. Gape la Point 4 ni dogo sana
Nyie mtulie subirini muone ila msimu huu mtatimuana sana, ila nawaonea huruma na Red Arrow manake hatua ya mtoano mtaji magoli.
 
Tathimini;

Mkude na Ajib leo mmewaonajaje?
mkude anatuliza presha ya mpira,anafikisha pasi ndefu na fupi kwa walengwa na unaona madhara,kanuti apunzike kwanza asome mchezo .

Ajibu alibadili mpira ,ana pasi nzuri zinazopita sehemu hujategemea ,mfano kuna Ile cross alipiga haieleweki ni cross au shuti moja kwa moja Ila madhara yake tuliyaona,bwalya anaweza akaja kujifunza kwa Ajibu.
 
Nyie mtulie subirini muone ila msimu huu mtatimuana sana, ila nawaonea huruma na Red Arrow manake hatua ya mtoano mtaji magoli.
Basi sisi Red Arrow hata hatuna shida naoo

Hata wakitutoaa ila tuu kumaninee Yanga asiwe bingwa tuu si kwetu ni ladha toshaaa.
Na sisi tulivyo wajinga tuna waza Ligi tuu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
mkude anatuliza presha ya mpira,anafikisha pasi ndefu na fupi kwa walengwa na unaona madhara,kanuti apunzike kwanza asome mchezo .

Ajibu alibadili mpira ,ana pasi nzuri zinazopita sehemu hujategemea ,mfano kuna Ile cross alipiga haieleweki ni cross au shuti moja kwa moja Ila madhara yake tuliyaona,bwalya anaweza akaja kujifunza kwa Ajibu.
Mkude Ajibu ni Damu ya Simba kaka.
Simba bado hatuna kikosi mechi ya 5 asaivi kikosi kitaanza kujulikana tuu.
Simba ni Simba tuu jamani...![emoji23]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Basi sisi Red Arrow hata hatuna shida naoo

Hata wakitutoaa ila tuu kumaninee Yanga asiwe bingwa tuu si kwetu ni ladha toshaaa.
Na sisi tulivyo wajinga tuna waza Ligi tuu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Simba hii tupo hapa hapo hujaanza kusafiri ,mmeanza na Gomes sijui kesho mtamtimua nani.
 
Back
Top Bottom