Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pitia sheria za refereeing. Kila sub nusu dk.. ongezea na za kusimama mchezo.Inachukua sekunde ngap kufanys sub!?
Broo usijaliUshindi mwembamba sana huu sijaridhika kabisa na kiwango cha msimbazi.
wapo on fire au marefa wa mechi zao ndio wapo on fire?Sasa hivi si wapo on fire,sisi mdogo mdogo hivi mara timu chemistry imekubali ,Mara mtu anadondosha points ,mbona watatafutana
Sisi ushindi mwingi hatutaki kwanza maana umetukinai, tumekua tukiupata huo kwa muda mwingi nasisi ni binadamu lazima tuwe na hurumaBroo usijali
Ndo tunasongaaa
Tuta kaa sawa tuu.
We tulia wale wa bwawani na msukule wao wata shangaaa na usengere waoo
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
We si unajifanyaga huamini ushirikina hao waganga umewajulia wap tena?Kazi ya uganga haikufai ina wenyewe
kuna morali wanayo kwa sasawapo on fire au marefa wa mechi zao ndio wapo on fire?
Hili ni jukwaaa la michezo zingatia muktadhaWe si unajifanyaga huamini ushirikina hao waganga umewajulia wap tena?
nye wenyewe mnapenda kuangalia ,si uliwaona wenzako leo leo uwanjani wanashangilia mwishoni wakaonyesha sura za majonziMechi zetu makolo ziwe mchana saa nane, tunatumia umeme bure tu
Nyie mtulie subirini muone ila msimu huu mtatimuana sana, ila nawaonea huruma na Red Arrow manake hatua ya mtoano mtaji magoli.Tatizo Moja La Yanga Huwa Hawana Hesabu na Point za Ligi. Sahizi Round ya 5 imekamilika Simba kwa Kusua sua Tuna Alama 11 na Yanga wana 15
Ikifika muda simba imetulia kiwanjani na Mbinu zao zinakuwa mpya kwa makocha wengi, Yanga Itakuwa imeshazoeleka [emoji28] Hapo Mkifungwa Game Moja Tu, Tunapumlia nyuma. Gape la Point 4 ni dogo sana
mkude anatuliza presha ya mpira,anafikisha pasi ndefu na fupi kwa walengwa na unaona madhara,kanuti apunzike kwanza asome mchezo .Tathimini;
Mkude na Ajib leo mmewaonajaje?
Hii ni LAZIMA tupigie Mstari.........Bwasheee hujasema Uongo Ni CHAMA MTUPU.....! Kocha Ampe muda Wa Kutosha Atatutoa huyu Mwamba.Ajibu ni Chama mtupu
Basi sisi Red Arrow hata hatuna shida naooNyie mtulie subirini muone ila msimu huu mtatimuana sana, ila nawaonea huruma na Red Arrow manake hatua ya mtoano mtaji magoli.
Mkude Ajibu ni Damu ya Simba kaka.mkude anatuliza presha ya mpira,anafikisha pasi ndefu na fupi kwa walengwa na unaona madhara,kanuti apunzike kwanza asome mchezo .
Ajibu alibadili mpira ,ana pasi nzuri zinazopita sehemu hujategemea ,mfano kuna Ile cross alipiga haieleweki ni cross au shuti moja kwa moja Ila madhara yake tuliyaona,bwalya anaweza akaja kujifunza kwa Ajibu.
Simba hii tupo hapa hapo hujaanza kusafiri ,mmeanza na Gomes sijui kesho mtamtimua nani.Basi sisi Red Arrow hata hatuna shida naoo
Hata wakitutoaa ila tuu kumaninee Yanga asiwe bingwa tuu si kwetu ni ladha toshaaa.
Na sisi tulivyo wajinga tuna waza Ligi tuu
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app