Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Vyura mna kelele sana yani na roho mbaya ndo kawaida yenu
Pumbafff.....Vyura mna kelele sana yani na roho mbaya ndo kawaida yenu
Magoli ya waliyofunga hawa jamaa yanawakata midomo nyinyi mliokua mkisema hii timu ni Ihefu ya bongo hawana uwezo.
Tulia sasa mshajua ni timu ngumu na ina uwezo,Simba anapitia hatua ngumu sana mpaka kiwapatia nyinyi viroboto nafasi za free kucheza michuano ya kimataifa.