Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Umeona ww mchunga ng'ombe
Magoli ya waliyofunga hawa jamaa yanawakata midomo nyinyi mliokua mkisema hii timu ni Ihefu ya bongo hawana uwezo.
Tulia sasa mshajua ni timu ngumu na ina uwezo,Simba anapitia hatua ngumu sana mpaka kiwapatia nyinyi viroboto nafasi za free kucheza michuano ya kimataifa.
 
Back
Top Bottom