Nakubali mkuuSimba hapa inapita ila mkae mkijua kwasasa kikosi chenu kimepungua uwezo
Wao 3-1 SisiNipe matokeo mkuu
Hatuna timu huu ndio ukweli mchungu,MO na mwenzake Magoli wameuza wachezaji wamesajili watoto wa shule ujinga mtupuHata mkipita hapa, nadhani mnaelewa maana ya hiki kikosi chenu cha sasa
HatupitiSimba hapa inapita ila mkae mkijua kwasasa kikosi chenu kimepungua uwezo
Mwaka huu Simba sijui kama hata watatetea ubingwa wa ligi kuu. Tukubali ukweli Simba ya mwaka huu imepwaya sana. Sipati picha jinsi Manara atakavyotunanga. Daah! Hii aibu. Tutaweka wapi sura zetu jamani?
KwakweliSimba hamfiki mbali kwa mpira huu. Tunawasubiri confederation.
Duuh mbona tumearibu hivyoWao 3-1 Sisi
Daah tutafanyaje sasa ndo hivyo tushapoteza shindanoHawa mbumbumbu bhana!! Wanafungwa magoli ya kipuuzi tu. Kwa aina hii ya timu, ina sifa ya kushika hata nafasi ya tatu kweli kwenye msimamo wa ligi msimu huu!!!
Timu imejaa wachezaji wazee na watoto wadogo wa shule! Timu ina makocha watatu!! Wengine wako jukwaani kwa sababu ya vyeti vya kuunga unga!! Yaani ni shida tu.
Simba hapa inapita ila mkae mkijua kwasasa kikosi chenu kimepungua uwezo
Hasa ukiwa unachukulia poa poa.Mpira ni mchezo wa kikatili sana
HahaaBaadae Man Utd tunafungwaaaa weekend inaisha vibayaaa
Simba hamfiki mbali kwa mpira huu. Tunawasubiri confederation.
Hawana uwezo,muongo. Wangekuwa na uwezo,wangemaliza gameSimba ni wapumbavu ,uwezo wanao Ila wanaleta show game