Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Hawa mbumbumbu bhana!! Wanafungwa magoli ya kipuuzi tu. Kwa aina hii ya timu, ina sifa ya kushika hata nafasi ya tatu kweli kwenye msimamo wa ligi msimu huu!!!

Timu imejaa wachezaji wazee na watoto wadogo wa shule! Timu ina makocha watatu!! Wengine wako jukwaani kwa sababu ya vyeti vya kuunga unga!! Yaani ni shida tu.
Daah tutafanyaje sasa ndo hivyo tushapoteza shindano
 
Back
Top Bottom