Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Acha kuondoka utopoloKwahiyo hamkwenda kuwaroga? Wala vyumbani hamjamwagia vumbivumbi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuondoka utopoloKwahiyo hamkwenda kuwaroga? Wala vyumbani hamjamwagia vumbivumbi?
Hahahaa pambaneni tu msitafute wachawiHamna watu wanaomba Simba ifungwe kama hawa vyura. Yani hata hao Jwaneng hawana roho mbaya kama hawa tulioshare damu kwnye koo huko
Vyura ni zigo la mavi wasikusumbue......Hamna watu wanaomba Simba ifungwe kama hawa vyura. Yani hata hao Jwaneng hawana roho mbaya kama hawa tulioshare damu kwnye koo huko
Kwa Mkapa si huwa hatoki mtu?😄😄Acha kuondoka utopolo
Tukomeee...😂😂😂😂Hamna watu wanaomba Simba ifungwe kama hawa vyura. Yani hata hao Jwaneng hawana roho mbaya kama hawa tulioshare damu kwnye koo huko
Tunapambana mbonaa nyie mnatesekea mkiwa wapi?Hahahaa pambaneni tu msitafute wachawi
Vyura mna kelele sana yani na roho mbaya ndo kawaida yenuTukomeee...😂😂😂😂
Kaenda wapi?Leo nimeona pengo la Mugalu
Kwani katoka? Mechi imeisha katoka kwani? Hata akifikisha matatu atakua ametokaKwa Mkapa si huwa hatoki mtu?😄😄
Botswana na wifi yako KhumoTunapambana mbonaa nyie mnatesekea mkiwa wapi?
Hayupo kwenye mechi ya leoKaenda wapi?
Leo Mugalu amekuwa pengo tena? Makubwa haya.Leo nimeona pengo la Mugalu