Ile ni michuano mikubwa
Hii timu iliyocheza na SSC ulishawahi kuisikia mara ya mwisho
Yeah, lakini simba tayari yupo hatua kadhaa mbele.Sio Rais
Hata Stela wanahesabu zao pia
Kihistoria hawajawqhi kufungwa uwanjan kwao
Nasikitika kuona watu wengi kudhani simba kazingua kuliko stele...Zamalek kacheza dakika 180 bila goli,
Simba ina advantage maana sare yoyote wanapita au hata 3-2, 2-1, nk
Naiona Simba fainali
Yanga ni timu bora sana haiwezi kulinganishwa na Simba ainayofurahia kucheza nusu fainali ya Shirikisho ambalo Yanga ilicheza FainaliTuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.
Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .
Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah
Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah 🤣… hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?
kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.
Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa
SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.
Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani
Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia
Kwahiyo utopolo alienda kucheza michuono mikubwa asiyoiweza?Ile ni michuano mikubwa
Hii timu iliyocheza na SSC ulishawahi kuisikia mara ya mwisho lini?
Kacheze na jkt ndo kundi lako huku wamebaki wakubwaTuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.
Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .
Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah
Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah 🤣… hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?
kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.
Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa
SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.
Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani
Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia
Kwa kuifunga malumo iliyoshuka daraja?Mkuu Hawa stellen usiwalinganishe na malumoYangq alicheza final
Wale sio waarabu ni wasouthDo not trust uongozi wa simba ni waarabu wenzao tena dini moja inawezekana kabisa kuna mabilioni watu wanapewa maana muarabu aangalii hela atakayo pata kwenye mechi bali heshima na faida nyingine ...sina imani na viongozi wa timu zetu hizi .......kwenye mipira kuna biashara za kichaga za kuuza ng'ombe kwa kesi ya kuku ...usikute muarabu ndiyo mbinu anayo tumia kuzishinda timu zetu kila kukicha ...usikute kuna mzigo wa dola mil 12 watu wamesha wa utoaji in
Acha uwongo kwenye makundi tu RSB berkane aliwakung'uta nje ndaniSio Rais
Hata Stela wanahesabu zao pia
Kihistoria hawajawqhi kufungwa uwanjan kwao
Ngoja tuone nitakukumbusha.Mbona ni rahis
Kwan misr mlifungwa ngap
Hata wa south siyo kaburu siyo mtu mbele ya mali .. tuliona walicho ifanyi yanga ....shaka yangu ipo palepale hakuna wakubwa wanapokea mzigo wa pesa hivi simba na yanga na viongozi wao wanashindwa kuimiza uwanja wa Benjamin uwe sawa ?Wale sio waarabu ni wasouth
Ubora wa kukosa goli wewe na kipaHizo tano mngewapiga kwanza al hilal pale kwa mkapa na Mc algiers,kipindi unamuongelea Simba angalau na wewe ungekuwa nusu final Champions league,Wanayanga hamna haki ya kutoa ushauri kwa Simba kwasababu ni low level,Timu namba 4 kwa ubora soka la Afrika inashauriwaje na timu dhaifu
Hao mafaita wameishia makundiTuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.
Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .
Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah
Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah 🤣… hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?
kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.
Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa
SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.
Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani
Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia
NZN ndio wapi?Haikupaswa kupeleka game NZN.
Kitengo cha Intelligence cha SSC kimefeli sana. Scanning team imefeli sana . Kama pia mmechunguza SSC hanaga matokeo mazuri pale Zanzibar na Chamazi
Walipaswa kukaa na kinamsigwa game ipigwe Taifa kwa namna yoyote