Yanga project ni kubeba klabu bingwa Africa msikilize Aziz Ki kilichomleta uto, Yanga kufika fainali loosers cup kwetu utopolo yale ni mazoezi tu, simba ni wale wa Ile methali ' "ganda la muwa la jana chungu kaona kivuno", sisi tunataka kombe la wanaume, hata hivyo ni kweli Simba imeumaliza mwendo japo imeshinda kagoli kamojaYanga iliwahi kufika fainali kwenye kombe hili hili. Kwa hiyo nao ni wamama.
Think twice before you post anything.......
Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.
Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .
Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah
Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah
Wachezaji wa yanga wanashindwa kupata goli moja dhidi ya mc alger ndio unasema wana hari na fighter acha kudogosha akili yakoTuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.
Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .
Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah
Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah 🤣… hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?
kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.
Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa
SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.
Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani
Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia
Hapo taifa ndo kuna hirizi zao?Haikupaswa kupeleka game NZN.
Kitengo cha Intelligence cha SSC kimefeli sana. Scanning team imefeli sana . Kama pia mmechunguza SSC hanaga matokeo mazuri pale Zanzibar na Chamazi
Walipaswa kukaa na kinamsigwa game ipigwe Taifa kwa namna yoyote
Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.
Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .
Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah
Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah 🤣… hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?
kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.
Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa
SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.
Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani
Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia
Punguza pombe unapoangalia mpira!Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.

Wenye akili kule ni wawili tu. Wanajipa ukubwa ambao hawana.Yanga hii hii ambayo ilitakiwa kupata goli Moja tu mbele ya mwarabu mbovu ndiyo ingeifunga hii timu goli 5? Ila Mashabiki wa utopolo mna matatizo mengi vichwani mwenu.
Ombeni mechi ya kirafiki, muwapige tanoTuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.
Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .
Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah
Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah 🤣… hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?
kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.
Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa
SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.
Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani
Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia
Ukweli mchungu kwetu wana Msimbazi.Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.

Mlimshindwa yule mwarabu alowafanyima kwenda robo fainali ndo mumuweze huyu? Na mlihitaj walau goli moja tu ila mkalikosa😄😄😄Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.
Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .
Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too many chances with one score dah
Yule dogo wa mwisho ndio Mwamba kabisq dah 🤣… hata kusukuma mpira golini ni TATIZO ?
kuna namnaa Majamaa hawapo serious….au tatizo Uwanja ? Huyo dogo auzwe… hayupo serious na kazi yake.
Anyway ….kule SA hamtoweza kuzuia purukushan zao,na hivyo msivyokuwa na striker, beki na umakini……. Wale jamaa watacheza fainal , hamtoweza kuwatoa
SSC mnahitaji striker aina ya Mayele na mtu kama Fei ! Mayele leo angefunga nyingi.
Yanga angepiga goli hata 5 ,
wachezaji wa Yanga wana hari na ni fighter san uwanjani
Poleni wanasimba…..tugange msimu ujao…. Msimu huu umeshawaishia
Simba ndiyo kama mlivyosikia: imejiua yenyewe.Zamalek kacheza dakika 180 bila goli,
Simba ina advantage maana sare yoyote wanapita au hata 3-2, 2-1, nk
Naiona Simba fainali
Duuuh..na unabisha kabisa...tumia ubongo..au kichwan ndo kuna kamasi kama mmbadala wa ubongo?Wapi? When , which ?
Hamna icho
Wali draw
Hata Mimi kwa % nyingi naamini hatavuka. Akivuka BINGWA!Hawezi kuvuka niamini
Hana uwezo wa kutoboa pale SA
Mtoa mada anajitoa ufahamu tu
0 0Akatolee sare wapi?
Zamaleki alipata matokeo gani pale SA ?
Kubwa mnoNasikitika kuona watu wengi kudhani simba kazingua kuliko stele...
Simba kashinda na hakuruhusu wageni kupata goli, kwangu hii ni kubwa