Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Eti hawa ndio mashabiki wa mpira😂😂😂😂😂Moo pumbav kabisa,anaanzisha ugomvi na wachezaji Kisha anawauza kwa hasira!
Na hicho kidemu chake ki CEO,kilikuwa Morocco kula bata eti ndio kimetuletea wachezaji wa hivi!!!!!!Shwain,inaniuma kweli
Msimu uliopitaHivi wamechachawa kuondoka wachezaji wawili tu, hata sielewi shida nini, tumelogwa? au?
Mm nimeiona Kuna rushwa katika upangaji kikosi yule Duncun nyoni ni mtu sana nungu nungu, hata Banda peter ni mtu ila apewe chance inaniuma sana kuuzwa Kwa chikwende kagere kabaki inaniuma sana nikifukira huwaga ninalia maana hata watoto wadogo wananicheka sanaKuna majitu yanashangaza sana, ila nafikiri kwa kweli issue ya namba 10 sijui ifanywe nini? kibu inabidi atokee pembeni ila dah kuna time niliona Nyoni anamuelekeza kocha hivi hali imefikia hapo?
Hakika kaka ninaunga mkono 100% ila tu watu wanaochagua mbadala ndo wenye makosa inaniuma sana nikifukira huwaga nalia maana hata watoto wadogo wanatucheka sanaShira ya simba ilianzia kuondoka kwa Senzo.....Senzo anajua sana Kuandaa mipango endelevu.....
Pili kuondoka kwa Sven [kishingo] alikuwa mtu Bora sana na nafikiri Chini ya sven ndi simba ilicheza moira mzuri sana...
Tatu kuondoka kwa Chama na Luis .....
poleni wazee....Sisi tumaomba hali izidi kuwa mbaya
Ondoa kanoute, Banda mugalu nungu nungu the rest waamshe inaniuma sana nikifukira huwaga nalia maana hata watoto wadogo wanatucheka sanaBocco
Mugalu
Wawa
Onyango
Mkude
Ajibu
Kagere
Kibu
Kanoute
Banda
Hawa hawatufai
Sent using Jamii Forums mobile app
Brother hakika hujalaaniwa kama mashabiki wengine wa simba (Yeremia : 17: 5-7 Bwana asema amelaaniwa mtu yule ategemeae mwanadamu ) ila inaniuma sana nikifukiria huwaga nalia maana hata watoto wadogo wanatucheka sanaChama hakuondoka chama ameuzwa wala hakuna ugomvi wowote kati yao mpira duniani uko hivyo chama hakuwa kila kitu Simba,mapungufu yanaonekana na timu itasukwa itarudi kwenye ubora
Kiingilio changu,kadi hai ya uanachama,jezi Kila msimu na support!So far wewe umechangia sh. Ngapi kwny club mpk sa hivi!
Ambayo Ni sh. Ngapi kwa ujumla mkuu?Kiingilio changu,kadi hai ya uanachama,jezi Kila msimu na support!
mbona unarudi kule kule nilikoandikaKuondoka chama isiwe sababu ya kucheza vibaya maana huyo chama asingecheza milele pale simba
Tatzo viongozi ilibdi walete mtu atakayeziba pengo la wachezaji waliouzwa
Support haina bei Mkuu!Ambayo Ni sh. Ngapi kwa ujumla mkuu?
Sawa mkuu.Support haina bei Mkuu!
Huna nidhamu wewe. Duniani uliona wapi timu inayopata mafanikio kiuendelevu bila kutetereka? Lazima ujue kuna kupanda na kushuka.Moo pumbav kabisa,anaanzisha ugomvi na wachezaji Kisha anawauza kwa hasira!
Na hicho kidemu chake ki CEO,kilikuwa Morocco kula bata eti ndio kimetuletea wachezaji wa hivi!!!!!!Shwain,inaniuma kweli
Mpuuuzi weweUpuuzi mtupu mnatujazia uchafu tu jukwaani.
We mechi inaendelea badala ya kucomment kwenye uzi wa mechi muda huohuo unaanzisha thread kama si ujinga ni nini?
Sielewi hata moderator wa jukwaa hili ni nani kwa kuacha kila uchafu uzagae tu.
Mi inaniuma sana nikifikia huwaga ninaliaa maana hata watoto wadogo wananicheka sanaInasikitisha sana...
Mama'kooo.Mpuuuzi wewe
Tuseme uko sahihi na hao unaowatetea wanawaza Kama wewe,Kwanini wamemfukuza kocha sasa?Mbuzi wa kafara kumbe wao ndio tatizo!Huna nidhamu wewe. Duniani uliona wapi timu inayopata mafanikio kiuendelevu bila kutetereka? Lazima ujue kuna kupanda na kushuka.
Wakati ukiwa na mafanikio timu zinatumia muda kusoma mbinu zako, wakishafanikiwa ndio hapo unashuhudia mtetereko wa timu.
Hii ni kawaida katika soka. Acha matusi, unaowatukana si wajinga, watajipanga na kuja kivingine. Ukiona huwezi kuvumilia una machaguo mawili. La kwanza; saga chupa unywe. La pili, anzisha timu yako halafu usiuze wachezaji ili uwe na mafanikio unayoyaota.
Halafu acheni ujinga wa kulalamikia wacheza waliouzwa. Wewe ulitaka afanyeje? Akae nao mpaka wadode? Au akae nao kisha mikataba yao iishe halafu waondoke bure? Kama hujui kuwa soka ni biashara na inafanywaje acha kuwa shabiki, kalime matikiti huko.
Hapa sasa umejibu hoja kiukomavu na si kutukana. Hivi ndivyo tunatakiwa kuwa. Kuhusu hoja yako ni sawa kocha aweza kuwa ni mbuzi wa kafara. Lakini pia inawezekana wameona ndiye chanzo cha mtetereko. Kumbuka amepewa kila msaada ikiwemo kambi ya muda mrefu huko Moroco ili kujenga timu lakini akashindwa. Kuondoka kwa wachezaji wawili haiwezi kuwa kisingizio Kwake.Tuseme uko sahihi na hao unaowatetea wanawaza Kama wewe,Kwanini wamemfukuza kocha sasa?Mbuzi wa kafara kumbe wao ndio tatizo!
Aaah wap,wanaondoka key players halafu unaletewa magalasa halafu alaumiwe kocha?Nani kachagua replacement ya hao wachezaji?Hapa sasa umejibu hoja kiukomavu na si kutukana. Hivi ndivyo tunatakiwa kuwa. Kuhusu hoja yako ni sawa kocha aweza kuwa ni mbuzi wa kafara. Lakini pia inawezekana wameona ndiye chanzo cha mtetereko. Kumbuka amepewa kila msaada ikiwemo kambi ya muda mrefu huko Moroco ili kujenga timu lakini akashindwa. Kuondoka kwa wachezaji wawili haiwezi kuwa kisingizio Kwake.