Unashangaa mchezaji kuipenda Simba, wakati CAF wenyewe huwaambii kitu kuhusu SimbaEti Manzoki anaipenda simba🤣🤣🤣 hivi ulifikiria sawa sawa kabla ya kuandika hayo mashudu!!! Yaan mlishindwa hata kuvunja mkataba wake ili mumsajili alafu aje tu kijinga tu
Umekazania shingapi utadhani ndio hoja ya maanaAnalipwa sh ngapi akose furaha? hio pesa mtampa nyie? Signing fee 200M mlikula kona jamaa wakaweka 900M sasa hivi value yake ni sh ngapi?
Hakuna mchezi Africa anayeweza kukataa pesa mkuu...! nyingine porojo tuNgoja nikufahamishe kama ulikuwa haujui
Management ya Yanga ilimfata Manzoki kutaka kumsajiri lakini Manzoki alikataa.
Alikataa kwasababu Club yake anayoipenda ni Simba, ni kama ilivyotokea kwa Chama Yanga walipojaribu kumfuata.
Manzoki anaikibali Simba na ndio maana aliweka ahadi ya kuwa asipokuwa top scorer atarudisha pesa za usajili.
Na sasa watu tunafatilia ligi ya China, Manzoki mechi nne sasa hajacheza, hafurahii kuwa kule, ni muda tu unasubiriwa aje dirisha dogo.
Aliulizwa na nani?Juzi chama aliulizwa akasema MAISHA HAYA, anaweza kucheza popote as long as pochi limenona.. acha umbumbumbu.. hawa wachezaji ni professional its difficult to let their heart rule their head
Arosto hiyo maana pusha kakamatwa, junky is jonessingNi shabiki wa Simba usishangae kukuta hilo..
Chama alifuatwa na Hersi kwa dau nono mpaka wakina Manara wakaanza kutamba kuwa kila kitu kinaenda kuwa fresh kilichobaki ni press tu ya kumtambulisha lakini mwisho wa siku aliwatemaHakuna mchezi Africa anayeweza kukataa pesa mkuu...! nyingine porojo tu
Yanga inapendwa na mashabiki tu lakini wachezaji wengi tena hususani wa nje ya nchi hakuna anayeshoboka na UtoUkita kupata kichekesho hiki ubonyeze namba ngapi.
Msijidanganye hamna mchezaji wa kutoka nje ,eatakaye acha kupenda fedha then apende Simba na Yanga hamna.
Huyo Manzoki unajipa moyo ,hela aliyopewa Manzoki na Wachina ,hawezi kuipata hapo Simba hata acheze kwa miaka kumi.
Nyie msimu huu hela hamna na mtaendelea kuchemka kwenye battle za kusajili wachezaji, yule Ndala wa Azam mlichemka sababu hela hamna,Sopu huyu ndie mmefanyiwa umafia na Yusuph, kamchomoa mchezaji kambini mbele ya viongozi wenu,nyie mlienda mikono mitupu mwanaume kaenda na kitabu chake cha cheki.
Wachezaji wote wa nje wametumwa hela hamna mwenye mapenzi na timu zenu na ndio maana sasa mna home work ya kumshawishi Chama na ili abaki ataka mzigo.Yanga inapendwa na mashabiki tu lakini wachezaji wengi tena hususani wa nje ya nchi hakuna anayeshoboka na Uto
Manzoki hata mkimfata na vibuku buku vyenu bado atawatolea nje tu, mchezaji yeyote makini hawezi kwenda kwenye timu ambayo haina mikakati afu imejaa ushamba mwingi
Kwamba mwajiri wake wa sasa ana jeuri ya pesa kuliko Yusuf Bakhares?Ambacho kinafanya asiende ni kwakua anapandishiwa dau na mwajili wake wasasa
'aliamishia= alihamishiaSio uzembe bali timu haina pesa, tajiri wa kurithi aliamishia nguvu kwenye Ndondi baada ya mkewe kumkataza kuwa na ukaribu na Babra.
[emoji23][emoji23]ila wewe jamaa kuna mda zinafyatuka kwa kipi hasa mlicho fanya huko CAF ?Unashangaa mchezaji kuipenda Simba, wakati CAF wenyewe huwaambii kitu kuhusu Simba
Kwako Simba ina future kuliko ligi ya China?Umekazania shingapi utadhani ndio hoja ya maana
Mchezaji anaweza akawa analipwa stahiki zake ila ukiwa unamuweka bencho tu au hata kwenye squad humuweki, hawezi kuwa na furaha
Kwasababu unakuwa una ruin future yake
Kama unaona ni jambo la kawaida ni sawa kwasababu we ni mshabiki[emoji23][emoji23]ila wewe jamaa kuna mda zinafyatuka kwa kipi hasa mlicho fanya huko CAF ?
Sio ligi ya China, nazungumzia Club ya China iliyomsajiri Manzoki halafu hata kwenye kikosi haimuweki ni kuzidi kuangamiza kiwango cha mchezajiKwako Simba ina future kuliko ligi ya China?
Labda Cuf ya lipumbaUnashangaa mchezaji kuipenda Simba, wakati CAF wenyewe huwaambii kitu kuhusu Simba
Hapa yanga mwenzangu umechemsha. Chama ni one of the best player tulio nao. Uhakika wa namba Yanga upo. Huwezi mlinganisha na Aziz KiWewe una matatizo ya akili siyo bure, wachezaji wazawa ambao ni wapenzi wa kuzaliwa wa Simba na Yanga wameshacheza timu tofauti na anayoipenda.
Kwa uchache tu Zamoyoni Mogela alikwenda Yanga, na Thomas Kipese alicheza Yanga, hawa wote ni Simba damu.
Ukiandika ushuzi huu siku nyingine kwa watu wenye akili utachekwa. mazoki na Simba au Yanga wapi na wapi, hao wanatafuta pesa tu.
Mtu kama Chama akienda Yanga atacheza namba ya nani? Kama Aziz Ki anaanzia benchi mtu kama Chama si hata jezi atakuwa havai?
Unamfananisha Babu Ronaldo mwenye kila kitu,fedha,umaarufu na mataji?Ronaldo alikataa ofa ya kwenda kujiunga na Club ya uarabuni huko ambayo ilikuwa ni billions of money
Lakini alikuwa tayari aende kucheza Madrid hata kwa mkopo
Frank Libery alipewa ofa ya kujiunga na Chelsea kwa mkataba wa zaidi ya euro milion 64 lakini alikataa
Manzoki ye nani?
Hata Chama tu huyo naye si mlimtaka au umesahau? Chama aliwakataa sio kwasababu hamkutoa pesa anayoitaka, aliwakataa kwasababu mapenzi yake kwa Simba yana worth zaidi ya hiyo pesa ya vigodoro
Badala ya kujibu hoja ya Mleta uzi umeleta stori za kusadikika.Ngoja nikufahamishe kama ulikuwa haujui
Management ya Yanga ilimfata Manzoki kutaka kumsajiri lakini Manzoki alikataa.
Alikataa kwasababu Club yake anayoipenda ni Simba, ni kama ilivyotokea kwa Chama Yanga walipojaribu kumfuata.
Manzoki anaikibali Simba na ndio maana aliweka ahadi ya kuwa asipokuwa top scorer atarudisha pesa za usajili.
Na sasa watu tunafatilia ligi ya China, Manzoki mechi nne sasa hajacheza, hafurahii kuwa kule, ni muda tu unasubiriwa aje dirisha dogo.