Simba SC yaipiku Yanga SC kwa kila kitu CAFCL

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maneno yasiwe mengi, wacha tusubiri.
Kwa Asec kwangu uhakika?

Haya wewe kati ya hao watatu Al Ahly, Petro na Mamelod kwako yupi ana hafadhali, maana unajutapaga "huwa ogopi wakubwa wenzako........".
 
Watani uhai wao ni utani. Acha wazodoane kwani ndio lengo hasa la utani
 
Kwa Asec kwangu uhakika?

Haya wewe kati ya hao watatu Al Ahly, Petro na Mamelod kwako yupi ana hafadhali, maana unajutapaga "huwa ogopi wakubwa wenzako........".
Cna naemuogopa hapo, yoyote aje, ila namtaka mamelody na mic kucheza nae mnoo.
 
Hivi unajua huyo ni me?
Acha izoo mkuuu umejuaje je ushawahi kumuona kwa Nini unapenda kudhalilisha wanawake
Mimi mbona namjua huyo vizuri kuwa ni she au umeiandika ili kujifurahisha hapa wewe embu jitahidi kuwa na heshima
 
umesahau Yanga haijawahi kufika makundi ya CL toka 98 mkuu,........ miaka karibu 26,,,,,

nadhan Yanga wana haki ya kushangilia sana kwenda QF...... hii ni mara yao ya kwanza
 
S
Mpira haukogo hivyo broo,simba na yanga hazijawahi kuombeana mazuri Na haitokuja kutokea
Sio simba na Yanga hazijawahi ombeana mazuri. Sema nyie vijana wa sasa msiojua utani wa jadi na mnaona kama ni uadui ndio mnaombeana ubaya. Sisi wakongwe tunaombeana mema na kama ingekuwa ndio sasa, Yanga asingekubali na kuruhusu kufungwa na Simba ili simba isishuke daraja. Ni nyie mlioingiziwa uadui na Haji Manara ndio mnaombeana hivyo mkuu.
 
Vijana wa Rage mnapenda sana kuimba taarabu. Wakati mwingine muwe mnaimba hata bolingo basi.
 
Miaka yote huwa ndio kwenye hatua ya makundi ndio sehemu yenu ya kujidai mara team of week, mara man of match, mara magoli mengi. Ikifika mechi ya robo fainali mafuta na maji na kelele zenu za ubora zinaishia hapo hapo. Mnaacha wenzenu wanasonga nusu fainali. Kwasasa timu zote zipo stage moja tunataka tuone yupi atampita mwenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…