Wenye uwanja na mabaunsa wa Yanga.Wamezuiwa na wenye uwanja sio yanga. Ndio maana meneja wa uwanja aliweka wazi kuwa hana taarifa rasmi za simba kwenda kufanya mazoezi. Kila kitu kina utaratibu wake. Pelekeni timu uwanjani acheni janja janja
2021 mlikatwa point ngapi kwenye scenario kama hii?Anakatwa point kama hatofika uwanjani, kanuni hiyo ina adhabu yake ambayo ni faini. So usipoenda uwanjani unakatwa point 3 na magoli 3
Na kushushwa daraja, au hii wameiondoa?Kanuni haisemi timu ngeni ikinyimwa kufanya mazoezi iginee
Kanuni haisemi timu ikizuiwa kufanya mazoezi igomee match husika,kanuni ipo wazi Yanga atapigwa faini ya hela au onyo Kali na aliegomea match atakatwa point 3 na magoli matatu.
Unaposema mabaunsa wa yanga unakua na maana gani? Maana pale nililiona gari la polisi. Tafsiri yake, mamlaka za uwanja ndizo zilizozuiaWenye uwanja na mabaunsa wa Yanga.
mamboHeloo
Poa za wewemambo
Neno "mara moja kabla ya mechi" halipo fixed na muda. Yani halifungamani na muda.Sawa bahati nzuri kadri muda unazidi ndipo mambo mengi yanaanza kujionesha. Nimesikiliza mahojiano na mwenyekiti wa bodi ya ligi na mwandishi wa habari. Inasemekana Simba siku ya Alhamisi walifanya mazoezi katika huo uwanja wa Mkapa. Sheria inasema angalau mara moja kabla ya mechi, sasa kama ni kweli Simba walifanya mazoezi siku ya Alhamisi kulikuwa na haja gani ya kugomea mechi?View attachment 3263364View attachment 3263366
nzuri, haujamboPoa za wewe
Samia anaingiaje hapo?Safi sana.
Serikali kama ipo serious fagia TFF na wasimamizi wa uwanja wa mkapa. Simba ni timu kubwa, xhochote inachofanya ulimwengu unafuatilia. Samia anaua soka kijinga sana
Kanuni ilisema Yanga wasusie?Kanuni ilikuwa upande wa yanga kwakuwa taarifa ilitoka nje ya muda unaoruhusiwa ndio maana yanga akufanywa chochote,,sasa tuambie ni kanuni Gani kwenye hili inakulinda!
Wale mabaunsa waliotumika Mwanza CCM Kirumba dhidi ya Pamba walienda wapi?Simba ni wanyonge sana.
Simba imekubali unyonge kingese tu.
Kwani Simba haina makomandoo?
Siku nyingine Simba ifuatane na makomandoo wake ili kwenye matukio kama haya ngumi zipigwe ili heshima ipatikane.
Simba hawezi kukatwa pointi kwenye tatizo ambalo ametengenezewa.
Anakatwa point akiwa yeye ndio amevunja kanuni. Hawezi kuwajibika kwenye makosa yaliyofanywa na mtu mwingine.
And for the records Simba wapo vizuri kwenye sheria na wanajitahidi sana kuheshimu taratibu za kimpira.
Sitaki kuamini kama wamekuwa wazembe wasione hili uliloliona wewe.
It don't mean sh!t
Meneja wa uwanja wa mpira asiyejua kanuni za mpira! Mwenye uwanja ni nani anamaanisha serikali kama ndivyo lini serikali ikatumia mabaunsa ktk ulinzi?Wamezuiwa na wenye uwanja sio yanga. Ndio maana meneja wa uwanja aliweka wazi kuwa hana taarifa rasmi za simba kwenda kufanya mazoezi. Kila kitu kina utaratibu wake. Pelekeni timu uwanjani acheni janja janja