Simba SC yatoa taarifa rasmi, yataka kupewa ushindi kwa Yanga SC kususia kuingiza timu uwanjani

TATIZO RAMLI ILIPIGWA YA SAA 11 sasa game ilipopinduliwa mganga kachomoa.
mechi kusogezwa mbele muda ni Jambo la kawaida Sana.
Sio tanzania hata huko duniani.
Kweli wangeweza, ila Yanga ni timu kubwa halafu tuna uadui na TFF. Sasa nyinyi fanyeni mnalotaka.
 
SHIDA yanga inaongozwa na wahuni na wavuta BANGI.
Hata maamuzi yanakuwa ya KIBANGI BANGI TU
Asiye na akili ni lahisi kumjua mwenye akili maana mwenye akili huamini yeye tu ni mwenye akili.
 
haya mnaobisha maamuzi ya yanga somen hiyo article no.19 inavyoonya serikali kuingilia shughuli za mpira.
 
SHIDA yanga inaongozwa na wahuni na wavuta BANGI.
Hata maamuzi yanakuwa ya KIBANGI BANGI TU
Huwezi kuhisi harufu ya pombe kama wewe umekunywa , kwa hiyo naona wewe hujavuta leo ndiyo maana unahisi harufu toka huko mnakovutiaga.
 
Haya UTOPOLO.
Wazee wa kukurupuka
Huwezi kuhisi harufu ya pombe kama wewe umekunywa , kwa hiyo naona wewe hujavuta leo ndiyo maana unahisi harufu toka huko mnakovutiaga.
 
Simba Kama wanatii maagizo na maelekezo ya TFF iweje tena wapinge maelekezo ya kuahirishwa mechi mpaka itakapopangiwa tarehe nyingine? Simba waache uoga na kutaka pointi za mezani ili kukwepa kipigo!
Ukitaka kuona Simba wanaendesha mambo kienyeji, soma vizuri hiyo barua. Wanasema walipoambiwa mechi inasogezwa mbele, hawakupewa sababu na hawakuhoji. Ila walipoambiwa mechi imahairishwa, wanasema hawakupewa sababu ya msingi.
 
Unazijua affairs za TFF!?
Unajua TFF ipochini ya Baraza la Michezo Tanzania!?
Unajua TFF imesajiliwa kwa sheria za Tanzania!?
Unajua Baraza la Michezo lipo chini ya Wizara ya Michezo.
Hivi nyie yanga akili ziko kweli kichwani!?

Check katiba ya TFF
 
Mkuu mimi na wewe hatukuwepo, ila kibongo bongo unaweza kuta kitendo cha Bodi ya ligi kutuma taarifa Yanga na kupokelewa, wamekitafsiri kama imekubalika.
 
[emoji28][emoji28][emoji28] barua ya Simba wakati naisoma, nilikuwa na imagine ni kama Manara anaongea na Press
 
Kingereza kinakupiga chenga au umeamua kuropoka!?
Wapi wamesema FIFA hawaimgiliwi na serikali!? Muulize Malinzi atakupa jibu.
"Each member association shall manage its affairs independently without influence from third part".

Wewe ndiyo kilaza kweli yan! Hiyo hapo ina maana gan wewe kiaz!
 
Usiwapambe sana Yanga hata wao wamefanya hivyo sababu wana visasi vyao na TFF, wameona hii mechi ndio ya kulipiza kisasi, mbona mechi za biashara na azam muda ulibadilishwa na wakacheza.
Hizo mechi unazozitaja, muda ulibadilishwa mapema sana, sio ndani ya masaa 24.
 


So? ....
Hiyo haina uhusiano wowote na FIFA.
FAs ni independent hazipo chini ya kitu chochote. Hilo Baraza la michezo linahusianaje na FIFA.
Baraza la michezo linasimamia mpaka mchezo wa kufukuzwa na n'gombe unaofanyika Pemba huko...
Au riadha.
FIFA ni soka tu na TFF ipo chini ya FIFA.
 
Yanga kama walipewa taarifa wakaikataa wasingepeleka timu kabisa uwanjani hii ni janjajanja ya kukwepa kipigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…