<br />tumepoteza pointi 2 lakini ni afadhali maana tulikuwa tumezidia mechi ijayo sunzu na okwi pengine na mwinyi kazimoto ndani..
asante kwa updates leo naona wauza juice wametukomaliashomali kapombe anaingia badala ya kago..ni dkk 45
kiungo ya simba imefunikwa kabisa na kiungo ya azam
tumepoteza pointi 2 lakini ni afadhali maana tulikuwa tumezidia mechi ijayo sunzu na okwi pengine na mwinyi kazimoto ndani..
inabidi Simba isibweteke kabisa kwani ligi ni kama vile haijaanzaKama tulikuwa tumezidiwa basi nadhani tumepata point 1 maana uwezekana wa kupoteza zote tatu ulikuwa mkubwa zaidi.
simba 1 na polisi 0..
simba 1 na plisi 0..wachezaji wa simba bado tatizo lao ni pumzi..Wadau update?
Crashwise let vitu uko, mechi imeisha au bado, nasubiria pointi 3 kwa hamu, ninaziitaji sana leo.
Kago dakika ya 2Nani kafunga
<br />simba 1 na plisi 0..wachezaji wa simba bado tatizo lao ni pumzi..