Nae nawe mchokozi! Wenzio wanaugulia kidonda wewe watia chumvi??
 


Mipango mipango ya "Kaburu" imegoma kwenye kombe la Kagame, hamna cha zaidi.
 
washabiki na wapenzi wa Simba Sports Club
wamesusia kufturu Chapati zinazotengenezwa na
kiwanda cha Azam.
Hii inatokana na kipigo cha Gombania Daku
walichokipata hivi karibuni
 
Nasikitika kuwa zile mbwembwe za rage kushughulikia mpango wa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mnyama simba umeishia hewani na wala siusikii tena ukizungumzwa na rage wala kiongozi yeyote wa simba.juzi hapa nilimuona rrage akizungumza katika kipindi cha mkasi cha chanl 5 na sikumsikia akiutaja huu mpango sasa najiuliza huu mpango upo au ulikuwa ni danganya toto?naomba majibu.
 
wenzenu lambalamba wamechambishwa na karatasi...mpaka muda huu nnya bado inatema...mmmh
Yanga 2-0 Azam
 
¤*¨¨*¤.¸¸...¸.¤*¨¨*¤..¸¸...¸
\¸.¤* AC MILAN * *¨*¤...¸...¸
.\¸.¤*¨¨*¤.¸¸.¸.¤*¨¨*¤..¸¸...¸
..\
☻/
.▌
/ \

Forza Milan!
Milan Campione!
Forza Milan
il Milan ole…
Forza Milan!
Vinci per noi!
Forza Milan
la Sud e con te!
Ale.. ale.. ale.. ale
╔═╦═╗╔══╦╦╗╔═╦═╗
║╬║╠╝║║║║║║║╬║║║
║║║╠╗║║║║║╚╣║║║║ ╚╩╩═╝╚╩╩╩╩═╩╩╩╩╝
 
mpaka sasa Simba 1 - 3 City Star naona gemu iko kibonanza zaidi..
 
FT Simba 1 - 3 City Star
poleni sana SI, Crashwise na Co.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…