Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
I dont see any points in your claims...you better refer the CAF rankings for clubs before making an attempt to compare Yanga and Simba...how do you compare an ant to a sheep, come on guy, come of your age!!!

Dreamer... watu kama M-babe wanahitaji tu maombi, kwisha!! sie tushangilie mafanikio na kusubiri Egypt second leg
 
Simba kusema ukweli jana wameonyesha kandanda safi sana I am sure Mgosi na Okwi wakiwa katika form kama jana waarabu hawana ubavu wa kukeep clean sheet. Pia Hilary Echessa na Banka wakiwa fit wataongeza chachu kwenye sehemu ya kiungo. Waarabu nao soka alijua sio haba mechi ya marudiano itakuwa kama Barca na Inter vile...
 
I dont see any points in your claims...you better refer the CAF rankings for clubs before making an attempt to compare Yanga and Simba...how do you compare an ant to a sheep, come on guy, come of your age!!!
Oh how I love this reply.....typical Tanzanian, you! This just goes on to prove how our continuous clinging to the underachieving Maximo may not be a TFF issue alone - it is obviously a syndrome that transcends and has found its roots into a sizeable section of the TZ soccer community. My friend, ranks are just that.....crappy ranks!! Go to Msimbazi and have a quick glance at your trophy cabinet, then come back to me and brag against Yanga....not with good-for-nothing useless ranks!
By the way.....let's meet in this forum again after Simba's visit to Egypt. I would love to see that smile (sic) on your face after the return match!
 
Oh how I love this reply.....typical Tanzanian, you! This just goes on to prove how our continuous clinging to the underachieving Maximo may not be a TFF issue alone - it is obviously a syndrome that transcends and has found its roots into a sizeable section of the TZ soccer community. My friend, ranks are just that.....crappy ranks!! Go to Msimbazi and have a quick glance at your trophy cabinet, then come back to me and brag against Yanga....not with good-for-nothing useless ranks!
By the way.....let's meet in this forum again after Simba's visit to Egypt. I would love to see that smile (sic) on your face after the return match!

you are damn right mazee... no wonder jukwaa la yanga kule naona kama limedoda, probably bado mnahesabu makombe!!! hahahaaaaaaaaaaaa:drama::cheer2::bounce::focus:
 
yaani mnapoteza nguvu kujadili na watu wanaoweka kambi kwa ajili ya kumfunga simba lakini mpira wa kimataifa wao sio muhimu kwao. Haya sasa mtanzania mwenye asili ya asia kagoma kumlipa public no i mean papic hahahahahahaha maisha magumu weka kambi hoteli kwajili ya simba na sio ile timu ileee ya wacheza bolingo. mbavu zangu mie. kumbe yanga ni yanga zekomedi orijinal hahahahahahaha

need i say more
 
Wana simba vipi wambura kapita kwenye mchujo...

Shuhudia hiki kichekesho, uswahili mtupu !

Kamati TFF yawamwaga vigogo Simba wamo Wambura na Kaduguda lakini Rage apita
Thursday, 29 April 2010 21:38 0diggsdigg

Clara Alphonce - Mwananchi

KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania, TFF, imetangaza matokeo ya pingamizi kwa wagombea mbalimbali wa uongozi katika klabu ya Simba ya Dar es Salaam.

Simba itafanya uchaguzi wa wagombea wake, Mei 9 kwenye Bwalo la Maofisa wa Polisi, Oysterbay, Dar es Salaam. Nafasi zinazowaniwa ni mwenyekiti, makamu mwenyekiti na wajumbe wa kamati ya utendaji. Mweka hazina na katibu mkuu watakuwa wa kuajiriwa.

Awali wagombea 57 waliomba nafasi mbalimbali katika klabu hiyo, kabla ya baadhi yao kuwekewa mapingamizi ambayo jana yalifikia tamati yake kwa Kamati hiyo ya TFF kuwaweka bayana watakaoingia kwenye uchaguzi.

Katika nafasi ya mwenyekiti, mgombea wa kwanza kuwekewa pingamizi alikuwa ni mwenyekiti anayemaliza muda wake Hassan Dalali ambaye aliondolewa kutokana na vyeti vyake kuwa na matatizo.

Wengine waliowania nafasi hiyo ni Michael Wambura, Aden Rage, Mohamed Nyangamala, Andrew Tupa, Hassan Hassanoor na Zacharia Hanspope. Kati ya hao, Tupa aliondolewa jina lake kwa kukosa sifa wakati waliowekewa pingamizi ni wote isipokuwa Hassan Hassanor.

Akitangaza jana mbele ya wanahabari, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Deo Lyatu alisema baada ya mahojiano na wote waliowekewa pingamizi, ni Aden Rage pekee ndiye aliyesalimika hivyo atasimama na Hassanoor katika uchaguzi kwa nafasi ya mwenyekiti.

Lyatu alisema, Wambura ameondolewa kutokana na ibara ya tisa ya kanuni za uchaguzi wa wanachama wa TFF na Kamati ya rufaa ya TFF ya 2008 ndiyo iliyotumika kumwondoa Wambura wakati alipoomba kuwania nafasi ya makamu wa rais wa TFF. Rufani hiyo ilikatwa na mwanachama wa Simba, Daniel Kamna,.

Kwa upande wa Hanspope, Kamati imebaini kuwa rufani iliyokatwa dhidi yake na Issa Said, ilisema mgombea aliwahi kufungwa kwa kosa la uhaini ibara ya 26 (5) ya Katiba ya Simba, inamuondolea sifa za kuwania uongozi na hastahili kuwania uongozi wa klabu ya Simba.

Katika nafasi ya Makamu, katibu mkuu wa zamani wa klabu hiyo, Mwina Kaduguda, ameondolewa kutokana na kutotimiza majukumu ya kikatiba ya Simba, ibara ya 19 kifungu namba 2 hadi 8, ibara ya 21 kifungu C, D, F, G, H, I ibara ya 38 na matakwa ya ibara ya tisa ya kanuni za uchaguzi wa TFF.

Kwa upande wa Chano Almasi, ameshindwa kukidhi haja kutokana na kutotimiza majukumu ya kikatiba ya klabu ya Simba kifungu namba 2 hadi 8, ibara ya 21 kifungu C hadi I, ibara ya tisa ya sheria za uchaguzi kwa wanachama wa TFF.

Akizungumza baada ya majibu ya Kamati ya TFF, Wambura ambaye alihojiwa kwa zaidi ya saa mbili, alisema atakutana na mwanasheria wake kuweka pingamizi la uchaguzi kwa kile anachoamini kuwa jina lake liliondolewa kwa 'fitna' ilhali alikuwa na sifa zote.

"Nilikwishayajua majibu siku tatu kabla na nitahakikisha napata haki yangu na pia nitataka ushauri wa kisheria juu ya hili neno uadilifu...kila kitu uadilifu sasa nataka kumaliza fitna zote," alisema.
Naye Almasi alisema hajafanya maamuzi yoyote kwa kuwa alikuwa akifahamu.
Ndio Tanzania hiyo,hatuko serious - of all the people Rage kapita, Wambura katupwa ! Waswahili bwana !
 
TFF Yanga watupu watawezaje kuipa Simba viongozi bora! Nanusa hujuma!!
 
Wadau wenzangu wa mnyama vipi matokeo ya hapo Misri? Jamani tulioombee chama letu liibuke na ushindi mnono
 
Hivi ndo kusema leo hakuna muungwana wa kutudondoshea yanayojiri huko Alexandria? Nina kiu ya taarifa
 



....good news kama huyu first choice kipa ni gonjwa !





Hodoud striker ready to play as goalkeeper

By:Hatem Maher | Sat , 8 May 2010 - 18:42|
View-icon2.gif
(6)
0 Share


168321403.jpg

Harras Hodoud striker Ahmed Abdul-Ghani is ready to play as a goalkeeper if Ali Farag, who will start instead of injured goalie Mathurin Kameni, picks up an injury against Simba on Saturday.
The Egyptian side, trailing 2-1 from the first leg, host Tanzania's Simba in the second leg of the African Confederation Cup third round without their regular Cameroonian keeper Kameni, who faces six months on the sidelines due to a serious knee injury.
Farag will deputize for him but if he sustains an injury or receives a red card Hodoud coach Tarek Al-Ashri will face a difficult dilemma.
The highly-regarded tactician will have no option but to field Abdul-Ghani as a keeper, given that third-choice guardian Mohamed Saied is not registered in Hodoud's African squad.
"Abdul-Ghani will switch to the goalkeeper's role in case of emergency, but he will start up front as usual," Hodoud director Mohamed Helmi told FilGoal.com few hours before the game.
Abdul-Ghani, Hodoud's top scorer in the Egyptian Premier League with nine goals, is not entirely unfamiliar with that role.
He was used as a goalkeeper in the same competition when Hodoud faced Tunisia's Sfaxien in the group stage in September 2008.
Kameni was sent off with all three substitutions made, giving Abdul-Ghani an unexpected chance to shine after he failed to find the net.
Sfaxien were leading 1-0 but they could not double their advantage when Abdul-Ghani, who tipped over a fierce free kick with few minutes remaining, stood between the sticks.
 
Bahati mbaya, 2meshateleza huko Alexandria. We'r down 0-1. Bao la mapema dk ya 2 ya mchezo.
 
Back
Top Bottom