Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

Hv uvalishwaji wa medali unamhusu kila mtu anayejulikana ndani ya klabu au..?
 
Kwa hiyo mkuu game za fainali huwa marefa hawatoi straight red cards?
Duuuhhh.
Lalamika kwa mengine mkuu, ila sio ile red card.
Simba bila makandokando hajawahi kutufunga, haiwezi kutokea hata siku moja, na ndio maana hiyo Redcard ilikuwa na kwenye mpango muda mrefu sana
 
Refa ndo yule yule tuliyemkataaa, TFF hawakuweza kumbadilisha kwasababu tayar alikuwa ana maelekezo ya mojamoja, how comes Referee unachezesha Quater, semi, na final ya timu moja
Bila makando makando mikia hamna kitu,but heshima wanayo now,Yanga pungufu wamefungwa kwa mbinde,hii game walikua hawatoki mikia wamshukuru refa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…