Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

Nchi ingekuwa na Katiba Mpya huu uonevu usingetokea.


YANGA TUNATAKA KATIBA MPYA, NA TUTAIPATA HATA TUKIWA NA MAPLASTA USONI.
 
Ulianza kuishabikia YANGA kabla ya mpira wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ili uifunge yanga,lazima mchezaji mmoja umpunguze kwa hiraaa😂😂😂 pamoja nakuwa pungufu kikosi kipana kimehaha na kupotezapoteza mda!!!
 
Kombe hili hili msimu uliopita mlibugizwa 4-1, je mlikuwa pungufu ?
Ile game kuna wachezaji wetu walifanya biashara mapema, Tshishimbi, na wajinga wengine tuliwatoa ndo waliuza game ile, Inshort bila makandokando huwa hamtoki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…