Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

Mpira tuliambiwa unaanza saa 10:00 ila umeanza na dk 3.
Tanzania hatujawahi kwenda na muda.
 
Kiukweli hii pitch tumepigwa, hauipi timu nafasi kucheza mpira wa chini.
Inaweza ikawa advantage kwa Yanga kuliko simba inayopendelea mpira wa chini/pasi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…