Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

Nyie mnaoangalia Ligi kuu Marefa walianza lini kuvuruga.

Mimi nimezoea kimataifa. Yoyote inayoenda kimataifa ninayo iwe Simba au Yanga. Zikikutana Ligi kuu nafavor asiye na kelele kabla ya kukutana iwe simba au Yanga. Leo nipo Yanga.

Marefa walianza lini duh!
 
Simba wamenyimwa Penalt halali kabisa, kadi ya niano kwa Chama sio halali
Na uwanja mbovu kabisa,
Refarii yupo upande wa Yanga
Ubaya ni kwamba hautaweza kupata refa ambaye si mshabiki wa team yoyote Kati ya hizo mbili,ni lazima atakuwa Yanga au Simba Sc.Shida inakuja kuwa, asilimia nyingi ya hizi derby huchezeshwa na marefa wa utopolo.
 
Uwanja mbovu pira bovu refa nae ile pressure ya tamko la yanga la kumkataa imemuathiri...anaogopa kukosea filimbi nyingi..
Pira bovu sana
 
Ubaya ni kwamba hautaweza kupata refa ambaye si mshabiki wa team yoyote Kati ya hizo mbili,ni lazima atakuwa Yanga au Simba Sc.Shida inakuja kuwa, asilimia nyingi ya hizi derby huchezeshwa na marefa wa utopolo.
Kweli kabisa
 
SIMBA inashinda 3-1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…