Simba waamua kutembeza bakuli kuchangia faini ya CAF

#MICHEZO: Meneja wa habari na mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema amepokea maoni ya Wanasimba waliotoa maoni namna ya kuiichangia Klabu hiyo ili iweze kulipa faini kiasi cha dola 40,000 sawa na mil. 101Tsh kutokana na Vurugu zilizofanyika mchezo dhidi ya CS Sfaxien!

Kupitia mitandao yake ya kijamii Ahmed Amechapisha ujumbe unaosema;

“Tumekuja na kampeni ambayo hii imeombwa na mashabiki wenyewe wakitaka kuwajibika baada ya kufanya makosa yale. Tumewaletea mfumo wa kuchangia ili kitakachopatikana twende tukalipe faini. Kampeni hiyo tumeipa jina la TUNAWAJIBIKA PAMOJA” – Ahmed Ally

UNAWAJIBIKA PAMOJA na Simba Ukiwa wapi?

#Michezo #Hainakuchoka #EastAfricaTV @nickymeena_
 
Miaka ya mbele sana
 
Huu ndo ubaya ubwela wenyewe...hatushindwi na wowote...
Yanii ni tumetaka wenyewe nishachangia elfu 15 yangu chapuu..
We are Simbas Fans and we love our team...
hii kama imewauma pia kunyweni juice ya arovera..
Your browser is not able to display this video.
 
Lkn zile pesa mlisema mtajenga kiwanja.....


Ebu tupen updates .....
 
Lkn zile pesa mlisema mtajenga kiwanja.....
Ebu tupen updates .....
Zilijenga uzio wote wa uwanja wetu wa mazoezi Bunju (nasisitiza uwanja wetu, sio wa kukodi kwa anayejiita mdhamini huku akijilipa Kodi ya pango kupitia mfanyakazi wake aliyempa uongozi wa juu)
 
Simba wako vizuri sana

Qualified

Fined and paying
 
Zilijenga uzio wote wa uwanja wetu wa mazoezi Bunju (nasisitiza uwanja wetu, sio wa kukodi kwa anayejiita mdhamini huku akijilipa Kodi ya pango kupitia mfanyakazi wake aliyempa uongozi wa juu)
Hahaaa mlipigwa mkuu
 
Hii mara ya pili mashabiki wa simba kung`oa viti
sijui wana shida gan na viti!kuna siku hawa watakuja chimba uwanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…