The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Na viti hatutavunja mjomba,we Subiri show.Hivi mwarabu wa wapi alimtoa Yanga?Sawa Mjomba. Muhimu tu mkitolewa, basi mkubali matokeo. Hakuna sababu ya kuwalaumu akina Mangungu, Matola, Joshua Mutale, Steven Mukwala, Shomari Kapombe, na mastaa wengine wa timu.
Kombe la 🐐 goat 😂😂😂Utopolo kapangiwa Kibangu Rangers
Kale ka south ni kabishi bora mwarabuHapa ndo ukisikia mtu mzima kusumbuka
Sisi wanasimba tulihitaji kale katimu ka South Africa Sasa tumepewa mwarabu
Kama Simba ataingia semi final atakutana na Zamalek au Stelleboch 🤣😅
Kimeumana
Hii imeniuma, GSM anahujumu hadi huko CAFCC
Hujui kwanini anamuogopa mwarabu?Kafanywa mbaya na mwarabu tena nyumbani.Akiona kanzu tu anainama.Kwanini unamwogopa mwarabu
Wako wa 4 kwenye ligi yaoHao jamaa sio wazuri sana hapo Timu ni hizo Berkane,Zamalek,Asec na Stellenbosch hawa wengine tia maji tia maji..
Niliwaona mechi yao moja ya ligi sio wakali kivile sema kwa sababu ligi yetu ni ya kubebana lolote linaweza kutokea..Wako wa 4 kwenye ligi yao
Nyuma mwiko anaposhupalia mambo ya MnyamaHapa ndo ukisikia mtu mzima kusumbuka
Sisi wanasimba tulihitaji kale katimu ka South Africa Sasa tumepewa mwarabu
Kama Simba ataingia semi final atakutana na Zamalek au Stelleboch 🤣😅
Kimeumana
Hii imeniuma, GSM anahujumu hadi huko CAFCC
Pipa na mfuniko, Simba kapewa anayeendana nae.Hao jamaa sio wazuri sana hapo Timu ni hizo Berkane,Zamalek,Asec na Stellenbosch hawa wengine tia maji tia maji..
Sisi huwa tunacheza na kaka yao Al ahly na tunamdondosha hao nani,mipira ya kushangilia ukiwa na miaka kumi na Saba tabu sana.Kila la kheri Simba
Au tumuitie kaduguda ayaite.Yaite mwenyewe mashindano ya kina mama
Me nawapa update tu
Kama ilivyo rahisi kuingia robo CAFCLKama ni rahisi ingieni hiyo fainali tuone. 🤣🤣🤣
Nyie mlivyotolewa mlimlaumu kocha au injinia?Baada ya kutolewa, tusisikie kelele za kumlaumu Mangungu, Matola, au baadhi ya wachezaji wenu. Sawa kijana?
Hata nyie mlivyotolewa mlimlaumu injinia kwanini kafukuza kocha kipindi muhimu kama kile, vilabu vya kariakoo lawama lazima.Sawa Mjomba. Muhimu tu mkitolewa, basi mkubali matokeo. Hakuna sababu ya kuwalaumu akina Mangungu, Matola, Joshua Mutale, Steven Mukwala, Shomari Kapombe, na mastaa wengine wa timu.