Simba watakutana na Al Masry ya Egypt

Simba watakutana na Al Masry ya Egypt

Sawa Mjomba. Muhimu tu mkitolewa, basi mkubali matokeo. Hakuna sababu ya kuwalaumu akina Mangungu, Matola, Joshua Mutale, Steven Mukwala, Shomari Kapombe, na mastaa wengine wa timu.
Na viti hatutavunja mjomba,we Subiri show.Hivi mwarabu wa wapi alimtoa Yanga?

Karibuni mjifunze kumfunga mtu na kusema kwa Mkapa hatoki mtu.
 
Sawa Mjomba. Muhimu tu mkitolewa, basi mkubali matokeo. Hakuna sababu ya kuwalaumu akina Mangungu, Matola, Joshua Mutale, Steven Mukwala, Shomari Kapombe, na mastaa wengine wa timu.
Hata nyie mlivyotolewa mlimlaumu injinia kwanini kafukuza kocha kipindi muhimu kama kile, vilabu vya kariakoo lawama lazima.
 
Back
Top Bottom