Simba watakutana na Al Masry ya Egypt

GSM hana huo ubavu avizie tu timu twake twa huku alitotupiga muhuri.
 
Sioni timu itayoisumbua simba labda zamalek hao wengine hakuna kitu
 
Sio kwa safu za ushambuliaji butu butu
SIMBA ndiyo timu pekee iliyofunga goli kwenye kila mechi kwenye michuano ya CAF msimu huu. Maana yake ni kwamba SIMBA huwezi kuwazuia wasipate goli. Kwenye ligi kuu SIMBA kafunga goli kila mechi kasoro mechi 1 tu.

Black bulls timu kibonde kutoka msumbiji iliweza kupata mabao 2 dhidi ya al masry sembuse SIMBA yenye safu bora ya ushambuliaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…