Simba watakutana na Al Masry ya Egypt

Simba watakutana na Al Masry ya Egypt

Hapa ndo ukisikia mtu mzima kusumbuka

Sisi wanasimba tulihitaji kale katimu ka South Africa Sasa tumepewa mwarabu

Kama Simba ataingia semi final atakutana na Zamalek au Stelleboch 🤣😅
Kimeumana

Hii imeniuma, GSM anahujumu hadi huko CAFCC
GSM hana huo ubavu avizie tu timu twake twa huku alitotupiga muhuri.
 
Hapa ndo ukisikia mtu mzima kusumbuka

Sisi wanasimba tulihitaji kale katimu ka South Africa Sasa tumepewa mwarabu

Kama Simba ataingia semi final atakutana na Zamalek au Stelleboch 🤣😅
Kimeumana

Hii imeniuma, GSM anahujumu hadi huko CAFCC
Sioni timu itayoisumbua simba labda zamalek hao wengine hakuna kitu
 
Sio kwa safu za ushambuliaji butu butu
SIMBA ndiyo timu pekee iliyofunga goli kwenye kila mechi kwenye michuano ya CAF msimu huu. Maana yake ni kwamba SIMBA huwezi kuwazuia wasipate goli. Kwenye ligi kuu SIMBA kafunga goli kila mechi kasoro mechi 1 tu.

Black bulls timu kibonde kutoka msumbiji iliweza kupata mabao 2 dhidi ya al masry sembuse SIMBA yenye safu bora ya ushambuliaji?
 
Back
Top Bottom