Tetesi: Simba yacharuka, yazitaka saini za Pacome, Aucho Msimbazi!

Uzi ule huwa nautembelea mara chache.
Hata uzi mnyama sina mazoea nao kivile.
Ila kuhusu ishu ya shabiki wa yanga kukuzimia sigara daaa🙄🙄sijapenda hiyo😳😳
Usiruhusu ushabiki wa aina hiyo
Yule jamaa ni hater halafu huwa ananitafutaga sana maana akisema tupigane nitamuumiza au kumtanguliza jehanam kabisa maana nikimuotea nikampiga ngumi moja tu najua nitamuua. Sitaki nifikie huko. Toka ile ngao ya jamii nilishamwambia ukipita kushoto Mimi napita kulia achana na Mimi
 
Samahani umeolewa?
 
Aucho huyu huyu aliyesema amezeeka? Basi Simba kutakuwa na mavi-ongozi takataka!
 
Sasa nani asiyejua mechanism ya gape la 1.5?

Rs Berkane msimu wa jana alikuwa nafasi ya 6 lakini msimu huu ulivyoanza tu hata kabla ya mechi yeyote ya kimataifa kuchezwa nafasi yake tumechukua sisi unajua ni kwa nini?

Nyinyi kufikia hilo gape sio kama kuna kitu mme-earn kuizidi Simba.

Simba amepungua point kufuatia kuondolewa mwaka mmoja wa rank aliokuwa amekusanya point nyingi.

Kwenye huo mwaka kila timu ambayo ilikuwa imekusanya point nyingi lazima zipungue.

Nyinyi katika huo mwaka mlikuwa mnapokea wageni airport hamkuwa na chochote mlichofanya zaidi ya kushabikia timu pinzani na Simba.
 
Haina afya Kwa Mpira wetu..Bado Afrika ina wachezaji wazuri,muhimu watu WA scouting wawe makini
 
Sikushangai kwa ushamba wako wa kutoijua timu namba 6 kwa ubora Afrika.

Ushamba ni nature ya Club yako. Viatu vyenyewe mmekuja kuvijua miaka ya 1990s.
We kweli ndio hamnazo kabisa hata Aston Villa ana UEFA ambayo Arsenal hana, kaa hivo hivo na sita yako.

Washamba ndio wajanja siku hizi we kolo
 
We kweli ndio hamnazo kabisa hata Aston Villa ana UEFA ambayo Arsenal hana, kaa hivo hivo na sita yako.

Washamba ndio wajanja siku hizi we kolo
At least mwenye nacho akiongea kuwa alicho nacho sio mchongo tunaweza kumuelewa.

Lakini wewe ambaye hicho kitu huna, huna guts za kutoka mbele ya kadamnasi kusema hicho kitu sio mchongo.

Tuseme sisi wenye namba 6, sio wewe
 
At least mwenye nacho akiongea kuwa alicho nacho sio mchongo tunaweza kumuelewa.

Lakini wewe ambaye hicho kitu huna, huna guts za kutoka mbele ya kadamnasi kusema hicho kitu sio mchongo.

Tuseme sisi wenye namba 6, sio wewe
Hivi hizo namba zinasaidia nini kama hauna kombe?
 
Kwa Aucho na Pacome siwezi kushangaa,ila kwa Fei Toto ni ngumu maana mkataba na azam ni kwamba hawezi kuuzwa kwa timu ya ndani hadi mkataba wake uishe,na mauzo yakifanyika Yanga lazima wapokee 30% . Labda Azam wamwuze kwa timu ya nje halafu Simba ndo wamchukue huko nje.
 
Yangq wanamyaka mo
 
Ngoja tuone
Mkusanyiko wa wachezaji bora hauna ya maana kuwa na timu bora. Wachezaji waliokuwa Simba wakatemwa walipokwenda Yanga wakafanya vizuri zaidi. Teamwork ni kitu complex kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…