Tetesi: Simba yacharuka, yazitaka saini za Pacome, Aucho Msimbazi!

Sawa Mkuu, mkifanikiwa kuwasajili tutarudi hapa.
 
Nikukumbushe tu, hicho chanzo unachokiita uchwara ndicho kimenipa hadhi ya kutambulika kama mwanachama bora wa Jamii Forums kwa mwaka huu 2024.
 
Pacome na Aucho wakafanye nini Simba?

Yani tumemuacha Chama halafu tuje tumchukue Pacome kweli?

Simba kama itaamua kufanya hivyo ni kwa lengo moja tu kuua chemistry ya Yanga lakini sio kwa mategemeo ya hao wachezaji waje kuwa mchango ndani ya timu.
Kuja chemistry ya yanga mchukueni injinia hapo Sasa tutaandama asee
 
Pacome na Aucho wakafanye nini Simba?

Yani tumemuacha Chama halafu tuje tumchukue Pacome kweli?

Simba kama itaamua kufanya hivyo ni kwa lengo moja tu kuua chemistry ya Yanga lakini sio kwa mategemeo ya hao wachezaji waje kuwa mchango ndani ya timu.
Itashangaza kwa kweli,Si Bora tukamchukue Mabululu.
 
Pacome na Aucho wakafanye nini Simba?

Yani tumemuacha Chama halafu tuje tumchukue Pacome kweli?

Simba kama itaamua kufanya hivyo ni kwa lengo moja tu kuua chemistry ya Yanga lakini sio kwa mategemeo ya hao wachezaji waje kuwa mchango ndani ya timu.
Wewe unaongea kama shabiki andazi tu kwasababu viongozi wa simba kwa utashi wao huwa wanaamua wamlete nani na sio kwamba wanafuata maoni ya wapuuzi kama wewe ambao hata humu ndani hamutumii majina muliyopewa na wazazi wenu...
 
Ngoja nikae hapa nathamini sana maneno yako.
 
Unawalisha Makolo wezie kipolo cha Matamba mkuu, Ponjolo hana uwezo wa ku battle tajiri wa visima vya mafuta Gharib.

Subirini 19 mchukue week bisi.
 
Unawalisha Makolo wezie kipolo cha Matamba mkuu, Ponjolo hana uwezo wa ku battle tajiri wa visima vya mafuta Gharib.

Subirini 19 mchukue week bisi.
Joined Sep 2, 2024
Sio kosa lako, karibu JF.
 
Amka kutoka usingizini utachafua shuka na godoro kwa mav.i!
 
Nach
Hebu kwanza nicheke?? Wamekuwa vijana tena sio wazee??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…