Tetesi: Simba yacharuka, yazitaka saini za Pacome, Aucho Msimbazi!

Ukitaka ufagiliwe vilivyo na mashabiki wa simba, wewe waletee tu story za aina hii!!
 
Kweli nimeamini Simba na Yanga ni zaidi ya dini nchi hii! Yani mtu anarukwa na akili sababu ya ushabiki!
Kuna mjinga hapa kitaa ni Uto siongei naye na nimejiapiza maisha yangu yote toka ile mechi ya ngao ya jamii uto walioshinda 1-0 alinizimia sigara kwenye tshirt yangu mpaka ikatoboka
 
Pacome na Aucho wakafanye nini Simba?

Yani tumemuacha Chama halafu tuje tumchukue Pacome kweli?

Simba kama itaamua kufanya hivyo ni kwa lengo moja tu kuua chemistry ya Yanga lakini sio kwa mategemeo ya hao wachezaji waje kuwa mchango ndani ya timu.
Chemistry ya Yanga haiwezi kuvurugika kwa kukosekana wachezaji wawili kwenye timu. Nyinyi simba mtaendera kuwa chakula cha Yanga mpaka pale tutakoposema sasa inatosha!
 
Nimependa ulivyohitimisha simulizi yako Mjukuu,

"Kwa msada wa chanzo changu.."

Kwa kuwa Mimi na Mkwe wangu wote ni Wanyama, na hii habari inatunufaisha zaidi sisi mashabiki wa Simba SC, nitamshauri Mkwe wangu akutafutie Jersey ya Simba kama zawadi yako Mjukuu ili uhamie upande wetu πŸ€—
 
Sasa Pacome mechi ya Mamelody ambayo timu nzima ilikuwa nyuma ya mpira angekuwa na impakti gani?
 
Ni Yanga lia lia na Arsenal, bangi yule mwehu nakumbuka hata ile fainali ya UEFA Madrid na Liverpool, mpaka Salah akateguliwa bega aliniletea tena ujinga kisa tulifungwa na Madrid 3-1.
Hiyo mechi nilifurahi sana, sana mno.

Jamaa tuko pamoja ila anazingua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…